Search results

  1. emmanuel1976

    Mkakati kabambe wa Media coverage ya UKAWA

    mkuu! Hata wewe unaweza kutoa maana mwisho wa siku unaweza jikuta ukawa maana hata mimi na lowasa tuliamini kama unavyoamini
  2. emmanuel1976

    Mkakati kabambe wa Media coverage ya UKAWA

    Habari Za Jioni Wakuu! Kwa Hali Ilivyo, Matumaini Ya Ukawa Kuchukua Nchi Ni Zaidi Ya Ilivyotarajiwa Baada Ya Lowassa Na Team Yake Kuongeza Nguvu. Ushauri Wangu Ni Ukawa Watenge Bajeti Kubwa Kwa Ajili Ya Matangazo Ya Aina Zote. Mfano! Magazeti Yanayopendwa, Bila Kusahau Magazeti Ya Udaku...
  3. emmanuel1976

    CCM yajifunga yenyewe kwa bao la mkono

    Mkuu Tpaul, CUF wakijitoa Ukawa itawagharimu sana hasa huku bara. Watafakari kwa kina sana.
  4. emmanuel1976

    CCM yajifunga yenyewe kwa bao la mkono

    CCM kwa hakika itajutia makosa yake ya kumuengua Edward Lowassa katika kinyang'anyiro cha urais kwa nguvu, hii ni sawa na kujifunga wenyewe kwa bao la mkono. Ikiwa UKAWA watatulia vizuri na kwa ufundi, huu waweza kuwa mwisho wa CCM. UKAWA umeanza kuvuna wanachama na viongozi wa chama cha...
  5. emmanuel1976

    J. K Nyerere: 'Malecela na Lowassa hawafai urais Tanzania'

    Wadau! Huwenda swali langu hapa likawa " Je kuna ukweli upi kwamba mwalimu JK Nyerere aliwakataa Mh. John Samwel Malechela, Mh. Edward Lowasa na Mh. JM Kikwete? kama ni kweli, ningependa kujua yafuatayo:- Sababu zilikuwa zipi zilizo mfanya mwalimu kuwakataa? Je aliwakataa kwa kipindi fulani...
  6. emmanuel1976

    Utambulisho mpya wa Jiji la Dar es Salaam

    Mkuu asante kwa taarifa but usingejaribu kulinganisha Dar na Nairobi kwa sababu kwa majengo mazuri na ya kisasa Dar hayawezi kulinganishwa na Nairobi hata kidogo.
  7. emmanuel1976

    Picha: Waziri Nyalandu asaidiwa na kijana mdogo kupanda kingo za mto

    Huwenda swali pia lingekuwa kwa nini waziri asisaidiwe kuvuka kikwazo hicho na maafisa wa polisi badala yake anavushwa na kijana anayeonekana wakawaida tu asiyekuwa ofisa.
  8. emmanuel1976

    Hii ni hali ya hatari kwa uchaguzi ujao!

    Hili ni janga kubwa sana, mtu mmoja anaandikishwa kwa masaa zaidi ya mawili haiwezekani wilaya nzima kuandikishwa kwa siku 7. Tuandikishe kawaida kwani BVR zinahitaji maandalizi si chini ya miaka 3 kuandikisha wapiga kura zaidi ya milioni 24 TZ. Kama hakuna hila kwa nini tusirudi analogi kwanza...
  9. emmanuel1976

    Kiongozi wa Upinzani nchini Burundi ameuawa kwa kupigwa risasi

    Do we have leaders in Africa? Not talking bout managers and administrators.
  10. emmanuel1976

    Kiongozi wa Upinzani nchini Burundi ameuawa kwa kupigwa risasi

    Kiongozi wa upinzani ameuwawa huko Burundi. Standard Digital News - Kenya : Burundian opposition leader murdered: residents Burundian opposition leader murdered Standard Digital News - Kenya : Burundian opposition leader murdered: residents
  11. emmanuel1976

    Siiamini report hii ya majeshi 20 yenye nguvu zaidi Africa mwaka 2015

    Tanzania imepigana vita nyingi na ina jeshi bora hivyo isingekosa katika 20 bora. Watalaamu watujuze kwa undani juu ya tz kutokuwa ndani ya 20 bora
  12. emmanuel1976

    Siiamini report hii ya majeshi 20 yenye nguvu zaidi Africa mwaka 2015

    mkuu ndo na sie tunajiuliza hivyo vigezo 50 vinavyotumika tz hatuna kiasi kwamba hata kwenye 20 bora hatumo? m24 walimnyoosha kabila tukawafukuza kwa siku chache.
  13. emmanuel1976

    Siiamini report hii ya majeshi 20 yenye nguvu zaidi Africa mwaka 2015

    teh teh teh hii report ni ya uongo. tz ingepaswa khwa ya 8 hadi ya 12 angalau basi.
  14. emmanuel1976

    Siiamini report hii ya majeshi 20 yenye nguvu zaidi Africa mwaka 2015

    Tanzania inazidiwa na South Sudan, Sudan, DRC, siamini.
  15. emmanuel1976

    Siiamini report hii ya majeshi 20 yenye nguvu zaidi Africa mwaka 2015

    Ya kwangu ndo nimeisha iweka kwamba haiwezekani tz ikakosa kwenye 20 bora Africa
  16. emmanuel1976

    Siiamini report hii ya majeshi 20 yenye nguvu zaidi Africa mwaka 2015

    Wadau, Hii report vipi, inawezekanaje kwamba katika majeshi ishirini yenye nguvu zaidi Africa Tanzania haimo. Hawa watu wa Africa ranker wapo sawa kweli? Check hii link. Top 20 Most Powerful Militaries In Africa 2015
  17. emmanuel1976

    Siasa na Dini mapacha wanaofanana ama wasiofanana?

    Wadai, Hii report vipi, inawezekanaje kwamba katika majeshi ishirini yenye nguvu zaidi Africa Tanzania haimo. Hawa watu wa Africa ranker wapo sawa kweli? Check hii link. Top 20 Most Powerful Militaries In Africa 2015
Back
Top Bottom