Search results

  1. M

    CCM wawatikisa CHADEMA Houston wajikuta wapo wawili tu mkutanoni

    Pigana kijana jenga chama chetu sisi tupo nyuma yenu. Mwaka huu tumewakamata pabaya wataisoma namba.
  2. M

    CCM wawatikisa CHADEMA Houston wajikuta wapo wawili tu mkutanoni

    Nape anaongea sasa hivi na Watanzania wa Houston hapa. Chadema walitaka kuutumia mkutano wetu ambao unalengo zuri la kujenga nchi yetu wakajikuta wapo wawili tu. Tunashukuru kikao kinaenda vizuri mambo ya siasa yameisha watu wanachangia vizuri na Watanzania waliochangia mpaka sasa wanajenga hoja...
  3. M

    Nape: LIVE ON MLIMANI TV LEO TAREHE 13/10/11 SAA MBILI NA NUSU USIKU

    Nimesikia promo Mlimani Tv vuvuzela wa JK atakuwa Mlimani TV leo saa mbili na nusu usiku kutangaza jinsi CCM watakavyoshiriki maandamano ya kupinga malipo ya Dowans..... Sio ya kukosa ni kwenye kipindi cha kurunzi...
  4. M

    Uamuzi wa CHADEMA dhidi ya madiwani: "A Big Mistake!"

    UAMUZI wa kamati KUU ya cdm wa kuwafukuza BAADHI ya madiwani wanaodaiwa kukaidi agizo la wakubwa umegeuka kuwa neiva mkali sana kwa CDM MKOANI ARUSHA. Wana CDM wamepita mtaani na kubandika mabango KUWA wamechoka kuburuzwa na sasa wanamtaka Lema arudi alikotoka TLP vinginevyo CDM ihesabu maumivu...
  5. M

    Nape: Bajeti Mbadala ya Kambi ya Upinzani inadhihirisha uongo wa CHADEMA

    Nape keep it up! hawajakuelewa ulipo hoji hizo pesa za kupandisha mishahara na elimu bure watazitoa wapi. Hata hao vibaraka wao wanao mtete ZItto hawajui kuwa hizo fedha za Posho za wabunge ambazo wamegoma kuzichukua wamesha zichukua na wanadaiwa. Wasitufanye sisi hatujui wasijidai wao malaika...
  6. M

    Nape: Bajeti Mbadala ya Kambi ya Upinzani inadhihirisha uongo wa CHADEMA

    Ni vigumu kushawishika kuwa hii forum ni ya great thinkers..,nilijaribu kuifatilia hii post na comments zilizofata.,nimeweza kugundua kuwa walio wengi ambao wanachangia hawana hoja za msingi bali hisia za chuki na ukaidi..,hakuna comments isipokuwa moja tu ambayo imejaribu kuainisha majibu...
Back
Top Bottom