Search results

  1. S

    Uchaguzi Serikali za Mitaa 2014: Matokeo kutoka nchi nzima (TZ Bara)

    HUku Mkoa wa Geita,Katoro kuna mitaa 17,Chadema imeshinda mitaa 16 na ccm mtaa mmoja tu
  2. S

    Tanganyika imerudi

    Ndiyo,irudi haraka sana
  3. S

    Tanzia: Charminglady afiwa na Kaka yake "Mwaka Mmoja Tangia Afariki"

    Pole kwa yote.kuwa imara na ukumbuke kua sisi 2mavumbi na mavumbini tutarudi!!
  4. S

    M4C yashika kasi Geita

    ww ushatoka Geita,sisi tupo hadi mda huu,tunajua na tunayaona yanayotokea.uchaguzi ulopita yaan 2010,matokeo yalichakachuliwa walio wengi tunajua! ukweli watu washaamka sana c kama usemavyo!
  5. S

    Abubakhari wa Kemondo Mwanza akamatwa na jeshi la polisi kwa kutoa elimu ya uraia

    Kma wewe ni mwenyeji Mwanza na umekuwepo toka miaka 5 iliyopita,Kemondo ni pale ilipokuwa stand ya daladaala za kwenda Igombe! nadhan umeelewa
  6. S

    Comments zako humu ndani ndizo zimesababisha nikumwage!!!!!

    Ucjali mkuu tuko pamoja kabisa.Mwanamke ama bint lazima kwa kias flan afuate mme atakacho,la sivyo,kumwagwa ni nje nje! tatizo hum baadhi ya watu wanachangia kwa ushabiki.
  7. S

    Comments zako humu ndani ndizo zimesababisha nikumwage!!!!!

    Je kuchangia kama alivyokatazwa si matendo??
  8. S

    Comments zako humu ndani ndizo zimesababisha nikumwage!!!!!

    sidhani kama yeye anamatatizo,na nivizuri kuuheshimu uamzi na mpango wake mzima wa maisha.Wangapi wanachumbia mabinti wakiwa kwao,na wkt wa uchumba hukataza baadhi ya tabia toka kwa bint kwamba wao hawazitaki?? na kweli bint anatii na maisha yanasonga na hatimae wanaowana?? kipendacho moyo...
  9. S

    Wanawake mnaweza kujiuliza hili!

    Achen kupotosha,hebu sema chimbuko la jamii yako ni wapi halaf ifuatiliwe ka undan mila na desturi ili kuhakiki kama hizo nguo ndo maadili mema ya jamii kwa ujumla!! Utamfundisha nini mwanao unaetegemea awe kioo cha jamii in future?? Mambo mengine ni ulimbukeni tu!!! Kuiga vitu visivyo vya...
  10. S

    Ushauri na mawazo yenu ni muhimu hapa

    Je wakati mnaaanza mahusiano ulimpa msimamo wako kuwa huhitaj ajiingize kwenye mitandao ya kijamii kama hio?? na kama ndio bas ujue hana utii wala heshima kwako na kama utaendelea kulazmisha utakuja umia zaidi huko mbeleni!! Heri nusu shali kaka kuliko...........Kama hukumpa mashart hayo toka...
  11. S

    Wanawake wengi wasomi au wenye kipato kizuri hawadumu kwenye mahusiano!

    Ni kweli kabisa,kama ndo hao bora wanyamaze,wakubali yaishe walizike na huduma wapatayo ndani na nje ya nyumba toka kwa wake zao!! Binafsi ziwez thubut kuomba kulelewa na mke,bora nirudi shamba nkalime!
  12. S

    Wanawake wengi wasomi au wenye kipato kizuri hawadumu kwenye mahusiano!

    Ndg yangu uloeleza yanatosha,achana na wengine wanashabikia tu bila uhalisia,pengine wanaogopa kukusupport maana wake zao wapo humu na akithubutu patachimbika makwao!
  13. S

    Wanawake wengi wasomi au wenye kipato kizuri hawadumu kwenye mahusiano!

    Labda kwa mtazamo wangu naweza sema suala la uchumi wa kuchangia ndo linawavimbisha vichwa hao wenzetu.Mwanamke akiona mnaendesha familia pamoja ie.kujenga nyumba nae akichangia,kununua gari,shamba au kusomesha watoto pamoja anakuwa na kiburi flan kuwa mpo sawa.Hapo hapo inampa mme hali ya...
  14. S

    Wanawake wengi wasomi au wenye kipato kizuri hawadumu kwenye mahusiano!

    Ni kweli uloyasema,ni bora wakazingatia na wakachukua hatua,yaan kujirekebisha! Wengi tunajua umeamua kujitoa mhanga kueleza ukweli ambao wengi umewashinda.Ndo maana mashambuliz kama unavyojionea hapa.
  15. S

    Wanawake wengi wasomi au wenye kipato kizuri hawadumu kwenye mahusiano!

    Aisee hapo ni kweli kabisa mkuu,hujakosea,sema walio wengi wanaweka siri japo wanaumia! Umekuwa muwazi ukweli unauma jamani! Usijali kwa lolote watakalo kupinga! MSG delivered! Big up!
  16. S

    Kipi bora???

    Ndugu,ni bora ujipange kwanza kimaisha,then utatafuta mke baadae! Mara kwa mara mwanamke akikukuta huna kitu heshima inapungua! just kwa mtazamo wangu tu!
  17. S

    'Shemeji kaniuzia kesi'

    Sioni haja ya kuumauma maneno.Ni bora kusema ukweli tu! Kama hakuwa na nia mbaya kwa nini amnyamazishe shemej yake? No way,sema ukweli full stop!
  18. S

    'Shemeji kaniuzia kesi'

    Usijidanganye ndugu yangu,ukweli utakuweka huru siku zote,sema kila ulichokiona usiongeze wala kupunguza maneno. Waweza singiziwa kuwa ww ndo ulikuwa nae! Kama usemavyo bar kuna watu wengi,yawezakuwa kuna mtu kakuona na kamwona na huyo shemeji yako! na akamwambia rafiki yako,je hapo utajinasua...
Back
Top Bottom