Search results

  1. Rich Forever

    Mwaka wa sita mwanangu haongei. Roho inaniuma sana. Why me?

    Mungu mwema atatenda muujiza wake mwanao atakuwa sawa.
  2. Rich Forever

    Computer4Sale Laptop inaunzwa bei nzuri

    hizo hapo mkuu
  3. Rich Forever

    Computer4Sale Laptop inaunzwa bei nzuri

    nimeweka hapo mkuu 450000
  4. Rich Forever

    Computer4Sale Laptop inaunzwa bei nzuri

    lap top aina ya HP inauzwa ipo kwenye hali nzuri bei ni laki nne na nusu (450000) Ram ni GB 8 HDD ni GB 1000 Edition ya 7 napatikana mwenge Dar es salaam. mawasiliano 0763202727
  5. Rich Forever

    Nilitahadharisha hapa kuwa 'Kesi' imemkalia vibaya 'Mwamba' na hachomoki kirahisi nikaishia Kushambuliwa

    Kwa hiyo sabaya anatolewa sadaka kwa ajili ya mbowe? [emoji23][emoji23][emoji23]
  6. Rich Forever

    INAUZWA Ac Panasonic inauzwa laki tatu na nusu

    Ac aina ya panasonic1 horse power inauzwa bei laki tatu na nusu (350000) imetumika miezi mitatu tu ipo kwenye hali nzur sana inapatikana mwananyamala karibu na royal bar rimot yake imepotea ila inapiga kazi vizur. Mawasiliano 0687102420 0719590756
  7. Rich Forever

    INAUZWA Perkins Jenereta linauzwa

    perkins KVA 20
  8. Rich Forever

    INAUZWA Perkins Jenereta linauzwa

    perkins KVA 20 inakwenda milion 7 na nusu Top.
  9. Rich Forever

    INAUZWA Perkins Jenereta linauzwa

    pia kuna yalma KVA 20 inakwenda kwa milion 4 na nusu
  10. Rich Forever

    INAUZWA Perkins Jenereta linauzwa

    jenerata aina ya perkins linauzwa bei himilivu na rafiki jenereta lipo kwenye hali nzuri na matunzo yake linapatikana masaki dar es salaam. KVA 25 bei ni milion 8 na laki 5 tu mawasiliano 0786956065 0719590756
  11. Rich Forever

    Dar: Amchoma mpenzi wake na Petroli kisa wivu wa mapenzi

    wameamka kwa kuua? hata mwanaume kuua mwanamke ni ujinga unapambania mtu ambae hakupendi jamani huu si ujinga? ukishagundua mtu hakupend tafuta njia nyingine utayopata pumziko sasa anateseka maisha yake yote jela na roho ya kuua inamuandama
  12. Rich Forever

    Dar: Amchoma mpenzi wake na Petroli kisa wivu wa mapenzi

    itakuwa pombe mkuu jamaa alilewa sana kwa umr ule mlango angetoka nao labda kama nje kulikuwa na geti la chuma ya kuchomea
  13. Rich Forever

    Dar: Amchoma mpenzi wake na Petroli kisa wivu wa mapenzi

    katoa boko yaani anashabikia kutoa uhai wa mtu? hapana aisee napingana na kila aina hili maumivu ya mapenz yapo yanapita na hata huyo dem sio kwamba huyo marehem ndio alikuwa jamaa yake wa kwanza hiyo ngumu sana kwa vizaz vya sasa kuna watu wamefungua njia hapo
  14. Rich Forever

    Dar: Amchoma mpenzi wake na Petroli kisa wivu wa mapenzi

    kwenye maisha kuna changamoto kubwa sana niliwahi kuchukua mkopo na mwanamke ambae angekuwa mke wangu hapo ieleweke hatua zote zilifuatwa ilibaki ndoa tu tuliwekeza ktk biashara kwa bahat mbaya zilikufa vibaya sana kisha akaanza kutoka nje ya mahusiano tuliachana kwa aman. Nilikuwa na maumivu...
  15. Rich Forever

    Dar: Amchoma mpenzi wake na Petroli kisa wivu wa mapenzi

    ila sio kutoa uhai wa mtu mkuu kushindwa kufikia ndoto na mpenz wako au malengo haikufanyi uue ok tufanye kaua hayo malengo anayatimiza kwa sasa?
Back
Top Bottom