Search results

  1. C

    Kutoka Bungeni: Mbunge aomba Bangi iruhusiwe kulimwa!

    hamnazo kabisa.... SISIEMU hakuna jipya
  2. C

    Kikwete na aina ya Uongozi wa kuigwa

    gamba lingine hili!
  3. C

    Kikwete na aina ya Uongozi wa kuigwa

    gamba lingine hili!
  4. C

    Chadema chuo kikuu ardhi lawamani ...

    dogo acha kuongea uongo. nakuhakikishia tege si CHADEMA hiyo ni 1 halafu kutokana na uchunguzi uliofanywa na mimi kama mwanajamii, hela iliyopotea ni Milioni 6, na haijadhibitishwa kwamba tege kaiba unless otherwise una udhibitisho wako. jambo lingine chuo kikuu ardhi hakimchagui kiongozi...
  5. C

    Mnaonaje walimu wenzangu tukawafundishe wanafunzi mashuleni Uhalisia wa Ufisadi?

    We ndo unagusa somo husika, hata michezoni mwalimu wa soka awafananishe mafisadi na watu wachoyo wa pasi. yaani mpaka kieleweke, si unajua timu wapo 11 na watanzania tupo milioni 40, hivyo ukimnyima mtu pasi ni kama umemnyima haki yake ya uwanjani
  6. C

    Toeni chetu kama sivyo tutakitafuta

    Mwishoni mwa karne ya 20, tanzania ilianza kuuzwa, ila wawekezaji wachache ndo waliokuwa na udhubutu wa kuinunua, hata hivyo walioweza kuinunua walichukua zile sehemu pevu nia yao ilikuwa 1. kuwahi 'productive area' kwa maslahi yao binafsi 2. kufanikisha azma yao ya kiutawala katika nyadhfa za...
  7. C

    Wassira: Nililala kwa kuwa nilikunywa Dawa

    eti mdau kasema alihofia kupitwa na posho ya siku! ndo maana akageuza kiti cha bunge geto
  8. C

    Majambazi yapora pesa mbele ya makao makuu ya jeshi la Polisi mda huu

    du! watu wamekuwa sugu! jamani hali ya maisha ngumu cku hz watu wanajitoa mhanga. wakikamatwa itakula kwao, wasipokamatwa mhnna shaka na askari wetu
  9. C

    Vurugu za Mwanza,chanzo ni Wanasiasa: polisi

    ndo tatizo la watu hasa wale wavivu wa kufikiria. wana(Copy) na Ku(Paste)
  10. C

    Lowassa aunguruma Bungeni: "Bora kufanya maamuzi na kulaumiwa, kuliko kutofanya!"

    kushangiliwa ni ile dawa aliyochukua nigeria
  11. C

    Lowassa aunguruma Bungeni: "Bora kufanya maamuzi na kulaumiwa, kuliko kutofanya!"

    hizo hela zao ama za wananchi tena walalahoi! bado watawamaliza
  12. C

    Lowassa aunguruma Bungeni: "Bora kufanya maamuzi na kulaumiwa, kuliko kutofanya!"

    hana lolte zaidi ya kusifia serikali ili isimharibie
  13. C

    Lowassa aunguruma Bungeni: "Bora kufanya maamuzi na kulaumiwa, kuliko kutofanya!"

    uchumi wa nani? wa matajiri ama wakulima?
  14. C

    Lowassa aunguruma Bungeni: "Bora kufanya maamuzi na kulaumiwa, kuliko kutofanya!"

    yap, ila pongezi nyingi mno, na kujigamba na asilimia kubwa ya kura alizopata. tusubiri kama ataongelea ufisadi
  15. C

    Waandishi bora 25 wa Tanzania ni hawa wafuatao...

    kwa hii list bado hujatofautisha habari na makala, fanya uchunguzi tupe riport kamili
  16. C

    Polisi wanaendelea kurusha risasi juu maeneo ya Mbezi kwa Yusuph

    polisi nao wamezidi, wangepambana na aliyegonga na siyo kurusha risasi kwa wanaotaka matuta kwa usalama wao. matuta ni njia mbadala baada ya mistari ya zebra kushindwa kuheshimiwa na madereva wengi, kukiwa hatuoni sababu ya kupuuzwa kwa zebra
  17. C

    Jamani Wamarekani mbona wanakuja Bongo kwa kasi sana!

    watakuja tu, kwani tunadanganywa kwa pipi kijiti, tz tunadanganywa kuwa tu wakarimu, huku tukiwaacha wakubwa wakifilisi. wataendaje sehemu ambazo watu wanazijua haki na wanazilinda. tz peace and love au sio wadau
  18. C

    Hakimu, Karani mahakamani kwa kupokea rushwa

    nina mashaka na mshahara wa huyu hakimu, au ni tamaa tu za dunia
Back
Top Bottom