Hapa tuna tatizo kubwa, nadhani viongozi waliopo madarakani Zanzibar wana nia ya kuuvunja Muungano.Katika siku za hivi karibuni kauli zinazotolewa na kuhusu Muungano zinaleta sura kwamba kuna mpasuko ndani ya CCM juu ya Muungano na kwa bahati mbaya hakuna aliye tayari kukemea tabia hii. Mwl...
Mheshimiwa Pinda alinukuu katiba , hivyo Zanzibar si nchi japo ina serikali yake. Nionavyo suala la Muungano lijadiliwe kwa wanannchi kutoa maoni yao mfumo upi bora. Kama Zanzibar wanataka kuwa nchi basi mfumo wa Serikali tatu ndo muafaka yaani Tanganyika, Zanzibar na ile ya Muungano lakini pia...
Hapo ndipo tatizo lilipo, tunaomba hao Takokuu wasikae tu chini wachunguze haya mambo na wahusika washitakiwe, wakishindwa kufanya hivyo siku itafika wananchi watachukua sheria mkononi, mbona hayo ya masaki ni madogo lakini ni dalili! tafadhali msitulazimishe kwenda huko, washitakini.
Yap! Time will tell - Watanzania tusilegeze kamba vita ya kujikomboa toka makucha ya mafisadi iendelezwe kwa nguvu zaidi na waelewe siku zao zimefika!!!
Mtaalamu wa sheria Chenge alijenga mazingira ya kujilinda yeye na mafisadi wenzake kwa sauti kubwa tupige kelele sheria hiyo ibadilishwe, orodha hizo zisiwe siri na zitangazwe!!
Mahangaiko ya nini? kadiri wanavyobwabwaja ndivyo wanavyoendelea kujianika. Sasa Yonah kasema anawajua Richmond (rejea mahojiano yake na TVT)huyu anahitaji kubanwa atueleze Richmond ni nani.
Suala lililopo mbele yetu ni pana, linagusa uadilifu wa viongozi wote katika taifa hili.Wananchi ni lazima tuamke tukatae hali hii ya kuwa na watu wanaoiba katika taasisi za umma na kisha kugombea uwakilishi wa wananchi.Kwa kuwa kipindi cha uchaguzi bado itabidi tujipange ili tuweze kutoa elimu...
Hongera ujumbe mtamu ila sijui kama unewafikia walengwa, yaani wafanyakazi na viongozi wao katika hivyo vyama vya wafanyakazi, watu bado wako kwenye enzi zile za uchumi dola, hivi sasa ni uchumi huria hivyo vyama vya wafanyakazi makini vyenye uongozi makini na ambavyo ni mali na vinatokana na...
Tunatoa Pole kwa watanzania wote na hasa ndugu wa marehemu katika msiba huu, tuwakumbushe madereve kuwa makini wawapo barabarani na kufuata sheria za barabarani. Pia ni vyema madereva wakapata mafunzo sahihi yatakayoendana na kutahiniwa ili kujua viwango vya madereva. Polisi wa barabarani ni...
Suala hapa ni kuwawezesha wananchi na pia kumobilise wananchi waweze kufanya shughuli zitakazoweza kuwaletea maendeleo na kujikwamua toka katika lindi la umaskini. Hawa wanaotoa fedha zao wanatia kichefuchefu kwani hawa si viongozi bora wala nchi hii haiwezi kuendelea kwa vihela vyao uchwara...
Sasa ni wakati wa kuamka, watanzania tukatae upuuzi huu njia ni kuungana pamoja na kuiondoa hali hii kwa kuwaoondoa madarakani. Napendekeza kwa kuanza tuwe na maandamano ya amani kuwaoomba wang'atuke !!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.