Search results

  1. A

    Mshahara wa mtu mwenye Diploma ya nursing ni kiasi gani?

    eti naomba kuuliza aliyemaliza form 4 akaenda college kusomea nursing certificate mwaka wa kwanza mwaka akapiga diploma then akaapply atalipwa shs ngapi?
  2. A

    Msaada: Utaratibu gani nitumie ili niweze kuchora magazetini

    Habari wapendwa, me ni kijana mwenye uwezo mzuri wa kuchora michoro ya aina yoyote ile kuanzia ramani,katuni hadi vitu halisi. Mpaka kufikia sasa nilikuwa nawaza sana niwe mchora katuni magazetini. Sijui naanzia wapi kwa wazo la kuchora magazetini ili ninufaike maana ni vigumu kwangu kwenye...
  3. A

    Ushauri: Nampenda, ila hanipigii wala hanitumii SMS kama zamani

    Nampenda sana huyu msichana kwasababu kuna fadhila nyingi sana bila malipo yoyote alinifanyia kwa dhana ya mapenzi ya kweli mimi na yeye. Nakiri ubize wa kimaisha unanifanya nimuweke pembeni lakini sidhani kama ni sababu ya yeye sasahivi kunitenga kwani mara kwa mara natenga muda wa kumuona...
Back
Top Bottom