Haya mambo yamezungumzwa na wafanyakazi wa bodi ya kahawa kwa zaidi ya miaka mitatu sasa na kusababisha kuvunjwa kwa bodi ya Ngeze na Mh Waziri Maghembe kuhamishiwa wizara ya maji. Inashangaza kuona kwamba Waziri Chiza anamkumbatia Kumburu ambaye kila wakati yeye anasababisha migongano baina ya...
:A S 109:Mbunge wa Mbozi alikuwa ameandaliwa na Kumburu ili amsemee. Tulijua na ni yeye pia ndiye aliyemwandikia barua aliyopeleka kwa waziri, kwani hatujui? Mambo ya Bodi ya Kahawa Zambi angejuaje? Alikatiwa jamani.
My friends. Mr Kamburu is another Jairo. He is abusing his own profession and responsibilities. The prime minister may face a question related to this scandle by thursday in the instant question session. What is special to this guy? Kiburi cha kuwanyanyasa watanzania ametoa wapi? Asome Katiba ya...
Mh waziri wa Kilimo mbona hushughulikii swala hili la bodi ya Kahawa? Au nako kuna kuchakachua? Mkurugenzi Mkuu bado anatunyanyasa na kutuhamisha bila kuzingatia haki ya watumishi. Tunakosa pakuegemea jamani. Nae awajibishwe.
Ni kweli nchi imefilisika kiuongozi. Kwa mawazo yangu nafikiri Pinda na Mkuu wa nchi wanataka kuokoa jahazi la bajeti ya wizara ya Nishati na Maadini ili ipite. Mimi NASHAURI tujitahidi kwanza tupate umeme ili tufanye kazi.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.