Search results

  1. highness long

    Simuelewi mke wa jirani yangu

    Achana na stories za wanawake wewe Sent using Jamii Forums mobile app
  2. highness long

    Mchumba kuharibu Sifa kwa wazazi wangu hata kabla sijamtambulisha?

    Hakuna logic hapo, Fanya uchunguzi kwanza mwenyewe, wazazi bana!! Tunawapenda na kuwaheshimu sana lakini!! Sent using Jamii Forums mobile app
  3. highness long

    Nafasi 2 za kazi katika Shirika la Posta Tanzania

    Posta nadhan EMS Sent using Jamii Forums mobile app
  4. highness long

    Natafuta kazi ya upishi wa vitafunwa

    Good! Sent using Jamii Forums mobile app
  5. highness long

    Post za Ualimu ambazo Watu walijaza hivi karibuni zinatoka lini?

    Kwani Tanzania INA watu wangapi? Sent using Jamii Forums mobile app
  6. highness long

    Yule ambae humtaki ndio mumeo

    Vailet hadi tetema, hatari sana!! Sent using Jamii Forums mobile app
  7. highness long

    Je, ni salama kutuma michango kwa Tundu Lissu kupitia akaunti ya CRDB? Nahisi wenye mamlaka toka juu wanaweza wakaifrizi

    Hainiumizi hata kidogo, ila mi binafsi bado sijashawishika Sent using Jamii Forums mobile app
  8. highness long

    Je, ni salama kutuma michango kwa Tundu Lissu kupitia akaunti ya CRDB? Nahisi wenye mamlaka toka juu wanaweza wakaifrizi

    Sasa nani kasema lisu atakufa? Mchangie usimchangie kila mtu atakufa siku yake ikifika Sent using Jamii Forums mobile app
  9. highness long

    Je, ni salama kutuma michango kwa Tundu Lissu kupitia akaunti ya CRDB? Nahisi wenye mamlaka toka juu wanaweza wakaifrizi

    Duuuh hongera zake, lakini binafsi haijanigusa japo sijawahi kua against na harakati za Lisu Sent using Jamii Forums mobile app
  10. highness long

    Je, ni salama kutuma michango kwa Tundu Lissu kupitia akaunti ya CRDB? Nahisi wenye mamlaka toka juu wanaweza wakaifrizi

    Duuuuh, we are differ kwa kweli, watoto wake unajua wanakosoma? Sent using Jamii Forums mobile app
  11. highness long

    Je, ni salama kutuma michango kwa Tundu Lissu kupitia akaunti ya CRDB? Nahisi wenye mamlaka toka juu wanaweza wakaifrizi

    So anachangiwa matibabu au? Mana Hosp kashatoka, Sent using Jamii Forums mobile app
  12. highness long

    Je, ni salama kutuma michango kwa Tundu Lissu kupitia akaunti ya CRDB? Nahisi wenye mamlaka toka juu wanaweza wakaifrizi

    Si kashapona jamani, au wahitaji ni waliopigwa risasi tuu Sent using Jamii Forums mobile app
  13. highness long

    Je, ni salama kutuma michango kwa Tundu Lissu kupitia akaunti ya CRDB? Nahisi wenye mamlaka toka juu wanaweza wakaifrizi

    Wahitaji ni wengi sana nchini jaman, wagonjwa ni wengi mno, huyo tushamchangia akiwa mginjwa, sasa hivi ni mzima apambane Sent using Jamii Forums mobile app
  14. highness long

    Je, ni salama kutuma michango kwa Tundu Lissu kupitia akaunti ya CRDB? Nahisi wenye mamlaka toka juu wanaweza wakaifrizi

    Hivi mpo serious kabisa kumchangia Huyu MTU? Kweli nimeamini mwenye nacho huongezewa! Sent using Jamii Forums mobile app
  15. highness long

    Jinsi ya kuomba ajira za ualimu kwa mfumo wa OTEAS na changamoto zake

    Kaziunganishe utume tena zitareplace Sent using Jamii Forums mobile app
  16. highness long

    Jinsi ya kuomba ajira za ualimu kwa mfumo wa OTEAS na changamoto zake

    Jaribu mida hio na uwe na subira Tuma hata mbili kwa mkupuo mi Nilikua natuma nasubiria hadi napitiwa na usingizi nikizinduka inakua poa, natuma nyingine nalala aaubuh nakuta zote zimeshaupload Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom