Search results

  1. Mkwawa

    Tundu Lissu: Tutayajua mengi sana endapo Mh. Nassari atafungua kesi Mahakama Kuu ya Tanzania kupinga kufutiwa Ubunge, kama ambavyo nimemshauri

    Kwa hili la Nassari Kuna ukakasi mwingi Sana Nassari anaujua. This is a play to stall a serious movement ! ! Will need more data to understand!
  2. Mkwawa

    Bukoba: Mahakama Kuu yamhukumu kunyongwa hadi kufa Mwalimu aliyemuua mwanafunzi kwa kipigo

    Adhabu ya fimbo au kipigo kwa iwe polisi au shule ni mbovu. Mwalimu kahukumiwa kunyongwa kwa kutoa adhabu isiyolingana na kosa kwani hata kosa halikuthibitishwa kama kweli limetendeka matokeo yake kaua mtoto. Polisi nao hutoa adhabu kali kabla ya mahakama kutoa hukumu na mara nyingi hizi adhabu...
  3. Mkwawa

    January Makamba, very intelligent, humble, down-to-earth! Can make the best President

    Sijui kuhusu January ila ulichokifanya usishangae akikosa uwaziri asubuhi na wewe ukatafuta uraia kwasababu soon hutakuwa Mtanzania. Andaa vyeti vya kuzaliwa babu wa pande zote na bibi , baba na mama na wajomba .
  4. Mkwawa

    Tundu Lissu: Siku napigwa risasi Paul Makonda alikuwa Dodoma

    JF great thinker - leta hiyo unayosema sio circumstantial au fact. Tundu Lissu hajajibiwa hata hoja moja. Lumumba wanatumia spinning tactics za 1940s. Jibu maswali ya msingi. 1. Nani aliamuru walinzi kutoka Lindoni ili wapiga risasi waingie kufanya yao. na Ziko records za CCTV na kwanini cctv...
  5. Mkwawa

    Nahau za Nape: Mkulima, nyani na mahindi

    Nilifikiri bado nahau, fasihi, misemo inafundishwa ulivyojibu inaonyesha Kuna shida mashuleni. Inahitaji fasihi kuelewa misemo na akili kuipambanua.pole
  6. Mkwawa

    Lissu: Mtu/Watu wenye nguvu walipanga kuniua kwa namna ambayo ingekuwa fundisho kwa wengine

    Kupambana na someone very powerful usifikiri Ni mzaha Yes kila kiumbe hai kinaogopa kufa. Forces behind his assassination Hakuna ambaye asingeogooa. Hata hivyo Tundu Ni Jasiri Sana anampeleka muuaji kwenye Kona . Wanaanza kupagawa na kutenda mambo ya hovyo.
  7. Mkwawa

    Tundu Lissu vs Wasiojulikana - Nani anaichafua nchi? Je Kwanini wasiojulikana wanalindwa ?

    Tundu Lissu alipigwa risasi 38 kati ya hizo 16 zilimwingia mwilini na kuchana chana sehemu ya mwili wake. Alipelekwa Hospitali akiwa hoi bin taaban. Alisaidiwa katika Hospitali ya Dodoma na madaktari wetu walifanya kazi kubwa sana kuokoa maisha yake. Ni kweli kuwa Uwezo wa kuendelea kupatiwa...
  8. Mkwawa

    Makonda: Nitawasweka ndani viongozi wa siasa wanaowakejeli viongozi wa dini mitandaoni; aagiza barabara moja jijini iitwe Kardinali Pengo!

    Ila kuna movie za ajabu sana kwa nchi hii- Juzi Bashite na Gwajima walikuwa maadui mahasimu kweli kweli - makombaro yalikuwa sio ya nchi hii - Eti leo Bashite na Gwajima wamepatana tunatishiwa kuswekwa ndani kwa kuwalinda - Kua uyaone maajabu ya dunia.
  9. Mkwawa

    Uzoefu wangu kuitwa na Kamati ya Bunge: Japo ameitwa kwa dharau, kwa kutishiwa pingu, lakini kiukweli CAG ameheshimiwa sana!

    Pascal nimecheka sana -uliposema umetumia usafiri wa Gambosh ukafika- Nice article
  10. Mkwawa

    Wazalendo tunaomuunga mkono Prof. Assadi tukutane hapa!

    Nasimama na Prof Assad
  11. Mkwawa

    Je, Dr Slaa kufuata nyayo za Dr Pius Ngw'andu kuachia ubalozi na kurudi nyumbani kugombea ubunge?

    Dr Slaa ni mwanasiasa mahiri- Alitangaza kuachana na siasa - ni mtu pekee kapewa kazi na Jiwe na alikataa kuchukua kadi ya CCM. Alimwambia Jiwe hataki kujihusisha na vyama. Majira na nyakati hugeuza watu. Ila kuna watu wachache sana duniani husimama na misimamo yao mpaka mwisho . Je Dr Slaa...
  12. Mkwawa

    Zitto adai Serikali imekopa kisiri siri pesa za kujenga mradi wa umeme wa mto Rufiji au Stiglers Gorge

    Serikali ni sisi na madeni tutalipa sisi au ikitokea wanaotudai wanachukua collateral ambayo sisi lazima tujue haya mambo wapi tunakopa kwanini ina faida au la. Tuwaulize sirikali wanatuuza wapi kwa kuleta umeme wa maji wa bei nafuu? Wasije maliza ujenzi wenye fedha wakasema wanatuuzia umeme...
  13. Mkwawa

    Mateso kwa wapinzani ni hatari kwa usalama wa Nchi

    Wanasiasa ambao wanapata bahati ya kushika madaraka hasa waafrika mara nyingi wanafanya makosa makubwa ya kiufundi. Kuwafanya wanasiasa wenzao maadui zao hasa wakiwa vyama tofauti. Focus ya mwanasiasa anayepenya na kuwa mtawala inabadilika ghafla na kuanza kutesa wanasiasa wenzake kwa visa na...
  14. Mkwawa

    Uchaguzi 2020 Urais 2020, CCM twende na Benard Membe. Mwanadiplomasia nguli wa kuivusha Tanzania

    Akiwa anajiamini kwa lugha ya utulivu amenukuliwa akisema 2020 Ni ikulu tu. Katiba ya ccm inaruhusu mwanachama wake kuomba kura za wanachama kupewa ridhaa ya kupeperusha bendera kila baada ya miaka mitano ,,! 2020 mwenyekiti na Rais Magufuli atapata upinzani haitakuwa free ride Tena Kina...
  15. Mkwawa

    Kwanini niwadanganye, Hata Lowassa asafishwe vipi ntaendelea kumuona fisadi tu,!

    Tanzania kwa sasa inaendeshwa kifisadi - mafisadi wanateteana - Mtoa hoja upo sahihi asilimia milioni
  16. Mkwawa

    Polisi na vyombo vyetu vya usalama:Tazamani CNN sasa na muone uwazi wa uchunguzi wa wenzetu!

    Nafikiri tatizo lako ni kuelewa - USA Demo hawawezi kumtuhumu Trump au Replucan kwani hawajazuia FBI kufanya kazi zao kila anayetaka habari anapewa habari sahihi hata kwenye tukio husika wapo waandishi wa habari na hawabuguziwi - hakuna hata dalili ya mbali serikali kutaka kuzuia upepelezi huru...
  17. Mkwawa

    Tukiogopa na kuanza kujificha tutatekwa wote - Ni Muda wa kupambana

    Hapo ndipo inatoa kabisa umaana was kuogopa kwasababu wapo kila Kona - kweli wakikutaka huna jinsi ya kujificha
  18. Mkwawa

    Tukiogopa na kuanza kujificha tutatekwa wote - Ni Muda wa kupambana

    Nimesoma posts nyingi sehemu mbali mbali kwenye social media- Inayozunguka sana ni moja inasisitiza kuishi kwa kujificha - kutokuweka tena picha, na matumizi mengi ya smartphone ili kuwahepa watekaji na wanaowatuma. Ni kitu kizuri sana kujihami ni vyema kujilinda na kuchukua tahadhari...
  19. Mkwawa

    Diaspora tunadharaulika sana awamu hii

    Mpo sawa wote mnaolaumu Diaspora Ila msiwachukie nao ni WaTanzania walikwenda nje kutafuta ajira , iwe kubeba zege, kuogesha binadamu, kuosha vyombo, kusafisha barabara wanapata kipato halali kwa jasho.
Back
Top Bottom