Search results

  1. Abdul Ghafur

    Afrika ili tupate maendeleo tunahitaji tuongozwe na Rais madikteta wenye vision

    Dunia haitupi mafanikio, dunia inatupa fursa, kuzifanya fursa kua mafanikio ni sisi wenyewe, kila mmoja kwa namna zake. Namaanisha, usingoje au kutegemea Rais au mtu mwengine yeyote akuletee maendeleo, anza wewe mwenyewe kujiletea maendeleo.
  2. Abdul Ghafur

    Nafasi ya kazi ya Usimamizi "Manager" wa kiwanda kidogo

    Ooh, safi sana. Tena atakushukuru maisha.
  3. Abdul Ghafur

    Nafasi ya kazi ya Usimamizi "Manager" wa kiwanda kidogo

    Naona huelewi kua panapotafuta wafanya kazi kila siku kuna ukuaji usio wa kawaida. Abraar tunajivunia kuajiri watu bila kutazama cv zao. Ubora wa kazi ya mtu utajionesha kazini. Tunajivunia hata tunapobaini kua huna ujuzi wa kazi tunakupa fursa ya kujifunza ukiwa kazini. Unaweza kututuita...
  4. Abdul Ghafur

    Nafasi ya kazi ya Usimamizi "Manager" wa kiwanda kidogo

    Pole sana, usijihangaishe, you are already disqualified. Kasome vizuri post #1.
  5. Abdul Ghafur

    Nafasi ya kazi ya Usimamizi "Manager" wa kiwanda kidogo

    Kabla mtu hajaanza mawaasiliano kuhusu kazi hii, kwanza aelewe ni nini kuwa "Manager". https://au.indeed.com/career-advice/finding-a-job/what-is-a-manager
  6. Abdul Ghafur

    Nafasi ya kazi ya Usimamizi "Manager" wa kiwanda kidogo

    Samahani sana, wewe unaonesha hauna umakini kabisa. Soma vizuri para ya mwisho ya tangazo letu. As a "manager" umeshindwa kabla hujaja, wewe labda uje kuwa apprentice.
  7. Abdul Ghafur

    Nafasi ya kazi ya Usimamizi "Manager" wa kiwanda kidogo

    Njoo, hakuna asiyekaribishwa Abraar. Lengo letu kuu ni kupeana nyavu, sio samaki. .fursa zipo nyingi sana. With people who have the right attitude, Abraar inaweza ku shoot progressively kuliko kiwanda kidogo chochote cha precast blocks. Mradi ukija elewa tu , huji hapa kuwa managed, uje hapa...
  8. Abdul Ghafur

    Nafasi ya kazi ya Usimamizi "Manager" wa kiwanda kidogo

    Ukweli hawapo serious kabisa. Kuna mmoja kaja kwa orientation na kabla ya orientation tulimuuluza kama anafahamu kutumia pc (office programs) kwenye kazi, kasema anafahamu kutumia computer (office programs) siku tuliomkabidhi computer tukamkuta kaipa mgongo computer. Tena huyu alikua ninmtu...
  9. Abdul Ghafur

    Nafasi ya kazi ya Usimamizi "Manager" wa kiwanda kidogo

    Halafu tunajiuliza kwanini nchi tajiri ya rasilimali za asili kama sisi runaendelea kuwa masikini.
  10. Abdul Ghafur

    Nafasi ya kazi ya Usimamizi "Manager" wa kiwanda kidogo

    Hii nafasi ya kazi bado ipo, walikuja candidates wawili watatu wakidhani ni kazi ya mchezo mchezo, standards na quality ya utendaji wetu zikawashinda walifikiri kuna mteremko wa kitonga uliozoeleka Tanzania Kama hauna ubora na standards za kazi za Kimataifa (kujituma, kujisimamia na kusimamia...
  11. Abdul Ghafur

    Darasa la ujenzi la Madrassatul Abraar latunukiwa Tuzo ya ubunifu wa ujenzi kutoka Shirika la Uingereza

    Kuna precast roof slabs tunaweka halafu tunamwaga zege la inchi mbili (2" only). Zinaokoa sana gharama ya bati, mbao za bati, gypsum boards na mbazo zake, zote hazihitajiki tena, na unapata nafasi kubwa sana juu ambayo ingefunikwa na bati. Jionee chini hapa.
  12. Abdul Ghafur

    Darasa la ujenzi la Madrassatul Abraar latunukiwa Tuzo ya ubunifu wa ujenzi kutoka Shirika la Uingereza

    Licha ya darasa la vifaa vya ujenzi na ujenzi, hapa Abraar Education Cntre pia tuna madarasa ya Qur'an, English (lugha), Arabic (lugha), Computer (IT). Pia madarasa ya kutoa uzoefu wa kazi kwa vitendo kama vile "office practices", "book Keeping for beginners", (Store Keeping and procurement)...
  13. Abdul Ghafur

    Darasa la ujenzi la Madrassatul Abraar latunukiwa Tuzo ya ubunifu wa ujenzi kutoka Shirika la Uingereza

    Hahahahaha, mahaba niue. Moja kwa Shillingi 1,000 tu. Ubora wa hali ya juu kwa gharama nafuu.
  14. Abdul Ghafur

    Darasa la ujenzi la Madrassatul Abraar latunukiwa Tuzo ya ubunifu wa ujenzi kutoka Shirika la Uingereza

    Ingawa sijaelewa maana ya hilo neno, kazi iendelee. Kati ya blocks zetu zinazookoa sana gharama na muda wa ujenzi ni hizo floor slabs.
  15. Abdul Ghafur

    Zitambue bidhaa za ujenzi zinazookoa gharama za ujenzi

    Bi Faiza, taratibu bibie, inaonesha vijana wamekuzoea sana humu. Lini utakuja Abraar tukufahamu live.
  16. Abdul Ghafur

    Darasa la ujenzi la Madrassatul Abraar latunukiwa Tuzo ya ubunifu wa ujenzi kutoka Shirika la Uingereza

    Lusungo, mwache Bi Faiza ajifarague. Hicho ni kito chenye thamani.
Back
Top Bottom