Search results

  1. J

    Vijana wa Arusha: Ukiisaliti CHADEMA utapigwa tu!

    Wasaliti kaeni sawa red brigedi wapo tayari mafunzo kutoa adhabu za suluba kwenu
  2. J

    Dr.slaa:tar 14/8/2013 kuwasha moto ndani ya arusha

    Medeye na Lowasa kichwa kinaumaaaaaa!
  3. J

    Sintofahamu ndani ya CHADEMA juu ya michango ya Sabodo

    Aisee hii picha weka mbali na watoto!
  4. J

    Tendwa aionya tena CHADEMA...

    Ubongo wake umejaa mavi!
  5. J

    MWASISI wa MUUNGANO wa ZANZIBAR anaitwa nani? Na muungano ulifanyika lini

    Kama vipo tangu asili basi kumbe ni kweli historia inavyodai kuwa Tanganyika ,unguja na pemba zilikuwa sehemu moja tangu asili,tumetenganishwa na ukoloni
  6. J

    Freeman Mbowe aripoti tena Polisi (Makao Makuu); Ashikilia Msimamo Kutowapa Ushahidi

    Bahati mbaya wakati anahojiwa bomu lilipuka lenyewe na uchunguzi unaendelea!Teh teh
  7. J

    Mbatia 'aipa' CCM ushindi kuongoza Halmashauri ya Uvinza

    Ni wakati wa chadema kuwarejesha kundini akina Kafulila ili hiyo kigoma waidhibiti huyo Bwabwa aone kama atapewa tena viti maalum
  8. J

    Mbatia 'aipa' CCM ushindi kuongoza Halmashauri ya Uvinza

    Kweli Mbatia bwabwa ANAKUMBATIWA SANA!
  9. J

    Vita kati ya Seif na Hamad Rashid yaibukia Manzese

    Nyerere aliwatimua wote hao kutoka CCM kwa uroho wa madaraka na ubinafsi wa upemba.Sasa Hamad Rashid kakosa uongozi wa upinzani bungeni bila kutarajia na CCM wakashindwa kumsaidia dhidi ya Chadema sasa anaua chama chake.Dhambi ya ubaguzi hiyo!!
  10. J

    CHADEMA waamua ku-'OCCUPY ARUSHA'; Kushinikiza LEMA aachiwe!

    Arusha kila mtu kivyake bana,wewe unawaza kulishwa kwa ni Chadema ni CCM wanaohonga vyakula na nyama za nyumbu!!!Hapa ni haki tu hata tukila nyasi mpaka kieleweke MEEEEN!!
  11. J

    CHADEMA waamua ku-'OCCUPY ARUSHA'; Kushinikiza LEMA aachiwe!

    Acha U**nge mtu kubambikiwa kesi sio suala la msingi?Mfumuko wa bei utashuka kwa watu kutofanya kazi na kuhudhuria mahakamani kwa kesi za kipumbavu?Hate your foolishness!!
  12. J

    JF, mmemuona Shein analia na maoni yenu?

    Waziri wa Masuala ya Zanzibar ktika baraza la mawaziri wa Jam ya Muungano wa Tz
  13. J

    JF, mmemuona Shein analia na maoni yenu?

    Dr Shein kwangu ni mbunge wa jimbo la Zanzibar ambaye pia ni waziri wa Serikali ya Jamhuri ya muungano wa Tanzania akiiwakilsha Zanzibar(JIMBO)katiba baraza la mawaziri!!!Rais gani anaapa kama waziri popote duniani ?Tusidanganyane hapa
  14. J

    Tatizo ni CCM kupoteza jimbo la Arusha

    Jamani Arusha Yetu Sio PINDA tu maana tunampindisha mbaya kabisa.WAMLETE KIKWETE AU LOWASSA ndio watajua kwamba BATILDA alijitahidi sana kura alizopata.SIRI ya fedha za halmashauri ya jiji kwa miaka 15(1995-2010) walizokula Pinda na jamaa wa Tamisemi badala ya kujenga miundo mbinu na huduma za...
  15. J

    Tatizo ni CCM kupoteza jimbo la Arusha

    Acha upumbavu wewe!!!Yaani Arusha huduma zote za jamiii zimetelekezwa na CCM kisa Lema na CDM,mbunge akitoka mahakamani anabambikiwa kesi ya maandamano(hivi wanataka akitoka mahakamni ajifiche au apande helikopta).Arusha tuamini na kutii sheria za udhalilishaji na wizi wa mchana ndio ustaarabu...
  16. J

    Wassira awaonya UVCCM Arusha 'ni uhaini kuongelea urais'

    Shule ya wassira ni ya vihiyo uwezi mlinganisha na njonjo ambaye ni mwanasheria wa ukweli!!Wasira tangu NCCR ni njaa kali
  17. J

    Rais wa zanzibar aapishwa kuudhuria vikao vya baraza la mawaziri Ikulu DSM leo

    CCM ni janga la kitaifa na inavyoelekea CCM Bara na CCM znz ni vyama viwili tofauti kwani wanaogopana na kila kimoja kinajifanyia kinavyopenda.Dr Shein Aliapa kinyonge san mpaka nikamhurumia.
Back
Top Bottom