Omba amba waliojaa Dar es salaam wanatoka pwani?na ulishasikia watu wa pwani wanashida ya chakula, kwanini watu wengi wanahama huko bara na kuja pwani?
Ni muhimu kutambua kuwa Uyahudi sio ukristo na hawakubaliani kwa kila kitu ktk imani, aidha ukristu ulianzia Antiokia na siyo Uyahudini ingawa wahubiri wengi wa makanisa ya kipentekoste wanapotosha umma kwa kuhusisha ukristo na Israel
Iran sio nchi ya kigaidi na wala haijawahi kufashili magaidi, nchi inayofadhili ugaidi na magaidi duniani ni USA na washirika wake, Iran ni nchi inayolengwa sana ma magaidi lakini kutokana na kuwa na ulinzi imara magaidi wanashindwa kutekeleza mipango yao. Tanzania kujifunza mbinu za kukabiiana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.