kufanya kazi sio tija kwani hata wehu hufanya kazi ya kuokota makopo jalalani huku motto wao ukiwa hapa kazi tu, kwani huifanya kazi hiyo kila siku kwa bidii na hawana likizo
Msihofu, jiwe atakuja kuwalipa mwenyewe hizo hela huku tbc ikiwa live, siku hiyo kutakuwa na burudani kutoka kwa bendi yetu ya chama watauimba ule wimbo wetu maarufu wa CCM mbele kwa mbele
Ile shule wamesoma watu wazito wengi ambao wapo serikalini e.t.c lakini imechoka mbunge awatafute watu waliosoma pale wasaidie kuboresha majengo hususani nyumba za walimu na madarasa
Huenda naye kaagizwa hivyo na bosi wake, wamachinga hoyeeee! kidumu chama cha makamuzi! Sasa kabla hatujaendelea sote tusimame ili tuimbe ule wimbo wetu maarufu moja...mbili... tatu ,hatunywi sumu hatujinyongiiiiiii.....
Hahahaa! hao sio wazalendo na wanatumiwa na mabeberu . Nina dogo langu hapa ni rais wa chuo kimoja na kada maslahi wa chama kijani leo amegoma kuhudhuria mdahalo ambao umeandaliwa na mama mmoja mwenye tamaa ya ubunge kisa aliambiwa akipata nafasi ya kuongea amsifie tu jiwe asimkosoe, sasa dogo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.