Search results

  1. MTEMIII

    Askari mstaafu: Walichofanya Mdee na wenzake pale Segerea ni sawa na Gari kugonga Treni kwenye "Railway cross Road"

    mwambie akwambie na historia ya jeshi usimuulize kiwango cha elimu
  2. MTEMIII

    Rais Magufuli kwa hakika alindwe sana tayari wabaya wake wako hadharani

    nazan utakuwa umepitia shule kidogo...unakumbuka zile hesabu za kugawanya huyu ana isha huyu...basi Membe ndo alivoisha ili kuondoa nongwa...sasa bado ni kipenzi cha watz na Lowasa hayupo.
  3. MTEMIII

    Hivi hawa TISS 2015 hawakumuona Profesa Mussa Juma Assad?

    kwan unajua ripot ya uyu aliekuwepo
  4. MTEMIII

    If I could be President

    think ur going to sing LEGALIZE by culture
  5. MTEMIII

    Strive Masiyiwa: Kama Manji, ni mfanyabiashara wa Zimbabwe aliyekabiliwa na zahma za mtawala katili

    viongozi wa kiafrika ni sida sana huko Rwanda Kagame yeye alifanya yake kabsaa kwa Bw. RWIGARA ASINAPOLIS familia imelia ikitaka uchunguzi huru mpaka kesho....na alikuwa mfanyabiashara mkubwa sana RWANDA...zaidi pita instagram...@rwigara
  6. MTEMIII

    Ukweli wa matumizi ya sh trilioni 1.5 utaiweka Serikali huru, kuliko utetezi unaokinzana

    watanzania ni sisi watu wa ajabu sana na hapa ndipo wakoloni walipotumia viongozi wetu machifu kutorosha rasimali zetu nje ya nchi..haizezeka pesa haipo kwene mzunguko na hapohapo unaambiwa trilion 1.5 imepotea hii pesa n nyingi sana laiti ingekuwa imepotelea ndani ya nchi ingesaidia...
  7. MTEMIII

    Tetesi: TBS wamesema mzigo huo ni mafuta ghafi (crude oil), wakati TRA wanadai ni 'semi-refined'.

    ikumbukwe Mh.Rais alisema akiwa Singida..(wengine wanaleta mafuta wanasema n crude oil na wengine mnao hapa hapa) kwa kauli hii n wazi MO aendelee na biashara zingine. tuko kwene vita ya kiuchumi ila bado hatujajua tunapgana nan...
  8. MTEMIII

    CHADEMA: Uchaguzi wa Mwenyekiti Taifa lini?

    mkuu unakosea sana anza kwanza kuuliza ...halmashauri kuu ya ccm imeshateuliwa...na 90% wajumbe kutoka kanda ip...time will tell
  9. MTEMIII

    Evarist Chahali: Kuna kiongozi wa nchi jirani ana "compromising information" kuhusu kiongozi mmoja "Mkubwa"

    ni lini uliwahi kusikia taasisi inajadiliwa,au ni mwananchi uliyekeuka kuleta vitu visivojadilika kwenye majukwaa.amini unaloliamin.
  10. MTEMIII

    Waziri wa Fedha, Katibu Mkuu Wizara ya Fedha pamoja na Gavana hivi mna kinga ya kutoshitakiwa?

    Walaaam, Yaani kwa madudu haya yaliyoibuliwa na CAG wafuatao wajiandae kwenda jela inaweza isiwe leo,kesho au pengine hata kesho kutwa ila amini nawaambieni watakuja kufungwa tu tena kifungo kitakatifu. Yaani watanzania wanateseka hivi kwa kukamuliwa na TRA kumbe wanawajusanyia pesa watu...
  11. MTEMIII

    Pongezi Rais Magufuli. Ameonesha uzalendo wa hali ya juu uliotukuka!, amebadilika, amejishusha, uchumi wa Tz kupaa!

    siku akijishusha na Ben Saanane na wote waliopotea ndan ya utawaka wake ntamfikiria kumuunga mkono
  12. MTEMIII

    Rais Magufuli amewateua aliyekuwa IGP, Mangu kuwa Balozi nchini Rwanda na Meja Jenerai Mstaafu, Mumwi Balozi Urusi

    ukiona nembo maarufu kama bibi na bwana huitaji muhuri tena
  13. MTEMIII

    Jaji Mkuu wa Tanzania, Prof. Ibrahim Juma atangaza kufuta ada kwa nyaraka mbalimbali za kimahakama nchini

    Mleta mada umekurupuka kwa umasikini wa nchi hii unadhani hicho kitu ni kama ulivoandika.Kwa kifupi ni kila kitu kinalipiwa na world bank mwisho wa siku zinapelekwa idadi ya hukumu na kesi zote za madai mzungu analipa.
  14. MTEMIII

    CCM, CHADEMA na Watanzania kwa ujumla huyu asipokuwa Rais mwaka 2025 nitawalaumu na kuwashangaa mno

    mkuu n kweli na ndie mrithi wa Shein Zanzibar ila kama na uchaguzi uwe ka huu wa marudio wa Siha na Kinondoni maana alishindwa ubunge huko pemba 2015
  15. MTEMIII

    CCM kuna kila sababu kuanza kumuandaa mrithi wa Rais John Pombe Magufuli 2020

    Ni ukweli usiopingika kwamba watanzania walikuwa wanamuhitaji sana Magufuli kwa kipindi kile kwani watanzania walio weng walikuwa na imani sana kutokana na utendaji wake ambao haukuwa na shaka kwa wakati ule. Japo walio wachache walikuwa wanamjua kwan zote walikuwa nazo ila kutokaka na sababu...
  16. MTEMIII

    Rais Dkt. Magufuli Amtumia Salaam Za Rambirambi Rais Uhuru Kenyatta Wa Kenya Kufuatia Vifo Vya Watu 36 Kwenye Ajali

    Mh. Rais vyeti feki vpo apo ikulu...Gerson Msigwa mmjawapo unawezaje kitia sahihi bila kuhakiki kilichoandikwa..n lazima Watu walalamike makosa ya kiingereza yewahi kutokea ikasemwa sio lugha yetu na kiswahili je? na makosa ya kiuandishi yanatofautiana kulingana na ngazi za kitasisi.
  17. MTEMIII

    TRA Arusha wanafukuza wafanyabiashara

    ilo la kutanguliza kias cha pesa mtu anachodaiwa sio rushwa n matakwa ya sheria na ili uweze kusikilizwa madai yako au rufaa n lazima ulipe kiasi icho ata kama umeonewa na ikitokea umeshinda basi kiasi icho utarudishiwa au kuingizwa kwene malipo yatakayofuta kama utaendelea na biashara...ila...
  18. MTEMIII

    Serikali yafuta vibali vyote vya makampuni ya uwindaji vilivyotolewa na Wizara ya Maliasili na Utalii mwaka huu

    Kwan vibali vya mwanzo waligawiwa bure je utaratibu ukoje kwa gharama za vibali vya mwanzo...uyu waziri anajua io wizara ndo machinjio ya wasiotakiwa
  19. MTEMIII

    Prof Kabudi: Ufafanuzi kuhusu makubaliano kati ya Serikali na Barrick

    yaani hawa kuna kitu wanaficha maana wameshindwa kutafuta ata muhasibu wamuapishe awawekee huo uongo mtakatifu vizuri kuliko hii
Back
Top Bottom