Search results

  1. Transparen

    Nahitaji watu wa Usafi Arusha wadada wawili na mwaanume mmoja

    husika na heading apo juu
  2. Transparen

    Napokeaje Pesa kutoka South africa via mobile Money

    Wakuu ivi kuna njia yoyote ya kuniwezesha kureceive Money from SA direct to my Mobile money account via mpesa? Nimejaribu through Swift code kw kutumia visa card ila sender anasema inamgomea is there any method out?
  3. Transparen

    Nafasi ya kazi Secretary Arusha

    Wakuu salama humu anatafutwa Binti mwenye good customer care kwa ajiri ya kuwa secretary Kampuni yetu ni mpya ina deal na mambo ya Utalii na Usafirishaji tunakamilisha kibali tuanze kazi ofisi zitakuwa Town mbele ya Equity bank, Hivo kama una sifa hizo na ni mdada umri kuanzia 18 -30...
  4. Transparen

    Electrical technician anapata mshahara kiasi gani?

    Wakuu, Mshahara wa kima cha chini wa electrical technian serikalini na viwanda ni kiasi gani, gross?
  5. Transparen

    Laptop yangu inachagua Flash disc

    Wakuu nina mini laptop ina port mbili na zote zinachagua flash disk yani unakuta hii inasoma hii haisomi nini shida apo wakati ni mpya ilikuwa poa.
Back
Top Bottom