Search results

  1. MY EYES

    Anakifahamu vizuri chuo cha Afya St Francis Ifakara anijuze haya

    Ambaye anakifahamu vizuri chuo cha Afya St Francis kilichopo ifakara anijuze ubora wake kwa utoaji wa mafunzo na mazingira kwa ujumla.
  2. MY EYES

    Nini tiba ya tatizo hili

    Kutokwa na harufu mbaya kwenye makwapa hata kama umekoga.
  3. MY EYES

    Nini kisababishacho hili

    Mala nyingi mtu kutoa mkojo WA manjano na apimapo anakutwa Hana tatizo lolote na kushauliwa kutumia maji ya kutosha ila hata atumiapo maji hayo hakuna mabadiriko. Ila cha ajabu wakati wa baridi na mvua mkojo wake huwa mweupe hata bila kunywa maji. NINI CHAWEZA KUWA CHANZO YA HILI TATIZO NA...
  4. MY EYES

    Naombeni kujuzwa Mafuta mazuri kwa ngozi yenye Mafuta

    Ni mafuta au lotion gani nzuri kwa ngonzi yenyemafuta mengi?
  5. MY EYES

    Je kuna uwezekano wa kurudia mwaka aliye-disco?

    Heshima kwenu wakuu, Naomba kuingia kwenye maada moja kwa moja Eti kunauwezekano kwa mtu aliye disco mtihani wake wa mwisho chuoni akarudia mwaka mmoja huo alio disco na kama kunauwezekano je ni taratibu gani za kufwata.? Naomba niishie hapo nategemea mawazo yenu ndugu.
Back
Top Bottom