Search results

  1. D

    Uchaguzi Serikali za Mitaa 2014: Matokeo kutoka nchi nzima (TZ Bara)

    Wilaya ya Magu kijiji cha Kisamba; Mwenyekiti CHADEMA. Vitongoji 5 CHADEMA CCM 0 Kitongoji kimoja wamelingana wanarudia Jumapili tena. Kijiji cha Sayaka Magu Mwenyekiti CHADEMA.
  2. D

    Wakati wa Vijana CHADEMA umefika, ni maandamano nchi nzima

    Ifike wakati vijana tujitambue huyu Juliana anashindwa wapi kujua maana ya MAANDAMANO YA AMANI na anataka kutuaminisha kuwa kazi ya Jeshi la POLISI ni KUUA NA KUJERUHI waandamaniaji.! Hii ni fedheha km kuna watu bado hawajui kazi ya Jeshi la Polisi ni KUYALINDA MAANDAMANO HAYO ili yawe ya AMANI...
  3. D

    Katiba Mpya: NEC ya CCM yatoa tamko kuwa serikali 2 ndio msimamo wa chama!

    Mm hili linanitaiza kidogo pale CCM wanaposema msimamo wao ni Serikali 2 wakati ukirejea nyuma wakati wa uundwaji wa Mabaraza ya Kata na Wiliya wote mtakumbuka walikuwa na uwakilishi mkubwa sn zaidi ya 60% kiasi cha kulalamikiwa na vyama vya Upinzani. Sasa km hoja ilikuwa hiyo walishindwaje...
  4. D

    Kwa Ukali Dr Kitila Amjibu Ansbert Ngurumo

    Mi nadhani Kitila unahoja ya msingi lkn tatizo ni kuwa ukosoaji wako umeongezeka sn baada ya matatizo yako na Chadema lkn pia unaposema tutafute mbadala wa CCM na Chadema wakati kukiwa na fununu wa uanzishwaji wa Chama ambacho inaaminika kuwa ni cha Zitto na group lake ukiwemo wewe huoni km...
  5. D

    TRA someni hapa: EFD zenu WIZI MTUPU

    Fire extinguisher unanunua mwenyewe hiyo laki moja ni ada ya mwaka.
  6. D

    Mhe.Tundu Lissu ndani ITV

    Nadhani hapa kuna umuhimu wa kujua Lugha ya Kingereza ili kukupa unafuu wa kusoma na kuchambua mambo yaletwayo Bungeni hasa Miswada maana huandikwa in a technical language na ni kwa Kingereza . Sasa km hujui Kingereza utasubiri tafsiri ya Kiswahili ambayo kuna baadhi ya maneno hukosa tafsiri...
  7. D

    Mh. Rais Kikwete huwa anasahau haraka, suala la katiba halihitaji msimamo bali maoni!

    Hope tunajua namna Buge la katiba litakavyokuwa na wajumbe wengi kutoka CCM hivyo wananchi wapenda Katiba Mpya tujiandae katika kupiga kura ya maoni ili tuiangushe km itakuwa imechakachuliwa kinyume na maoni yetu.!
  8. D

    Bungeni: Viti vyote vilivyokuwepo vimebadilishwa kwa ajili ya Bunge la Katiba

    Hili suala la kubadilishwa viti ndg linafanyika ili kuweza kuweka viti vingi zaidi ya vilivyopo kwa lengo la kubeba wajumbe wengi. Hivi vilivyomo vimewekwa mbalimbali hivyo uwezekano wa kutosheleza wabunge wa bunge la katiba ambao ni wengi zaidi kiasi kwamba wasingeenea mle. Ahsante.
  9. D

    Usanii unaofanywa na Mnyika na CHADEMA juu ya swala la Bei za Umeme na Maswala ya tanesco.

    Suala ni bei ya Umeme kupanda wala habari za Mbowe haziwezi kuvuruga hoja ya msingi na Kama kuna ushahidi wa yeye kunufaika utuwekee hapa.!
  10. D

    MBOWE, LIPUMBA NA MBATIA, ni wanafiki na Maadui wakubwa wa Taifa hili. Tuwakatae kwa nguvu zote

    Mkuu jaribu kuwa na uvumilivu wa kisiasa kwani Bungeni CCM walitumia wingi wao kudhoofisha hoja ya Wapinzani na kuna wananchi wanahamu ya kujua ni hoja zipi hasa hawa Mbowe, Lipumba na Mbatia pamoja na hao washirika wao km ulivyowaorodhesha wanataka kuueleza Umma wa Watanzania..! Tuwaache waseme...
  11. D

    Nape Amponda Mbatia Kwa Kusahau Alizawadia Ubunge

    Hii inanipa shida sn kuamini hata hao wajumbe wa Bunge la Katiba watakaoteuliwa na Rais km mswada unavyoelekeza na ndo miongoni mwa malalamiko ya wapinzani km watashiriki Bunge hilo kwa mawazo yao huru au Nape anataka tuamini kuwa watafuata maelekezo ya Rais kwani atakuwa amewachagua...
  12. D

    Mbunge wa Tabora athibitisha udini wa serikali ya CCM

    yuko mjumbe wa halmashauri kuu ya chama anaitwa prof Mwesigwa Baregu hana dini nadhani hujafanya analysis za kutosha.
  13. D

    Je, inawezekana CHADEMA wameweka mamluki wengi CCM zaidi ya CCM walivyoweka kwa wenzao?

    Katika hali ya kawaida chini ya mfumo mmoja watanzania wengi walijikuta wakiipokea Ccm. Lakini kwenye mfumo wa vyama vingi lazima utarajie wapeda haki na usawa walokuwa wamebanwa na mfumo wa chama kimoja wakitoka na kutafuta vyama mbadala vyenye sera na milengo madhubuti kwao. Vivyo hivyo kuna...
  14. D

    Ubunge Mbeya mjini 2015

    No evidence no right to say....! Kuna manung'uniko Jimboni kwake yapi yataje basi ili tuchangie na utakuwa umemsaidia Mh. kujua ni wapi wananchi wanatatizo naye... Sasa mara anapendwa mara atapigwa chini which is which...? Weka vitu km Great thinker na cyo brabraaaa...!
  15. D

    Lipumba; ubunge si size yangu.

    Jamani ni aibu iliyoje kudharau uwakilishi wa jimbo wakati tumeona jinsi gani wabunge wa upinzani wanavyoweza japo kwa uchache wao kusimamia maslahi ya taifa letu kupitia uwakilishi waoe. Hawa wengine ni kuwasamehe bure ashafilisika atunze vvzr vyeti vyake au navyo ni vya kughushi coz haviendsni...
  16. D

    CHADEMA kutoa uamuzi wa maamuzi ya Mahakama Jumamosi NMC Arusha

    Lakini pamoja na mm kuwa miongoni mwa waumini wa Lema kutokata rufaa ila nataka uelewe kuwa pindi rufaa yake itapokuwa court of appeal Lema ataendelea kuwa Mbunge hadi rufaa itapoaamua vyovyote na kwa jinsi hiyo hawataiburuza hd 2015 zaidi watafanya hila na hukumu ibariki maamuzi na jaji wa leo...
  17. D

    Piga kura linda kura

    Imekaa vzr sn kuelekea 2015 PIGA KURA LINDA KURA. Mafisadi wameshachemka mbaya yaani hawana Sera zaidi ya MATUSI. Km chama tuweke mikakati ili pindi itakapoanza maboresho ya daftari la mpiga kura tuwahamasishe wananchi hasa vijana wakajiandikishe na huo ndo mtaji wetu mkubwa mno 2015. Conglats...
  18. D

    Hotuba ya MB-Nassari (CHADEMA) baada ya kutangazwa imeliza wengi

    Hongera uongozi mzima wa Cdm taifa,mh.mbunge mteule Nasari na Wameru wote. Km chama nadhani huu ni wakati wa kuendeleza mapambano kuelekea 2014 wakati wa chaguzi za serikali za mitaa,hakisheni mnafungua matawi kila kona ya nchi hii ili ifikapo 2014 tupate wenyeviti wa mitaa wa kutosha ambao kwa...
  19. D

    UMEME WAKATIKA UWANJA WA TAIFA!!!Ngeleja jiuzulu

    Hiyo ni failure ya TFF maana walitakiwa waibane serikali iweke standby generator ndo watumie uwanja huo coz uwanja unapata mgawo mkubwa kutokana na mapato ya mlangoni.
Back
Top Bottom