Search results

  1. Jiggy El Jefe

    Written Interview Utumishi

    Wametoa IT tu naona.
  2. Jiggy El Jefe

    Written Interview Utumishi

    Research Questions: Ethrographic Reasearch, Types Marketing Research Maswali ya Marketing Price Na mengine ni Based in marketing tu kwa ujumla. Maswali ni Matano, ila yapo kama mia.
  3. Jiggy El Jefe

    Written Interview Utumishi

    Tar 7 si ndo Oral Interview.
  4. Jiggy El Jefe

    Written Interview Utumishi

    Na majibu wanatoaga baada ya muda gani?
  5. Jiggy El Jefe

    Written Interview Utumishi

    Dodoma ntafika leo usiku. Natokea Dar mkuu
  6. Jiggy El Jefe

    Written Interview Utumishi

    Baada ya interview pia, ntashare maswali humu. Ili kuwa mwangaza kwa wengine watakaofuata mbeleni.
  7. Jiggy El Jefe

    Written Interview Utumishi

    Habari za Muda wakuu, Naomba Ushauri na kwa yeyote ambae ana uzoefu na inteview za utumishi kwani ndio mara ya kwanza na attend, kada ya commercial officer II (TRC). Walau nipate mwangaza wa interview zinavyokua. AHSANTE
  8. Jiggy El Jefe

    Ushauri kuhusu biashara ya kuuza vinywaji vya aina zote (Vikali na vya kawaida)

    Kila biashara au jambo lina experts, ndo maana watu wanauliza ili kujua mambo madogo madogo, kwaio kulima ndo unadhan unaweza fanya bila ushauri?
  9. Jiggy El Jefe

    Ushauri kuhusu biashara ya kuuza vinywaji vya aina zote (Vikali na vya kawaida)

    Wakuu, habari za Jumapili. Ningependa kujua zaidi kuhusu biashara hii kwa wazoefu, nahitaji kuifanya biashara hii sehem ya mjini. Kuuza vinywaji baridi tu: -Soda aina zote (chupa na take away) -Maji -Juice -Tanga Fresh - Mtindi. Ningependa kujua zaidi kwa bei za jumla vinapatikanaje na...
  10. Jiggy El Jefe

    Call for Interview Postal Bank (Sales Executive)- Advice

    Sina majina, nna email yangu tu ya invitation
  11. Jiggy El Jefe

    Call for Interview Postal Bank (Sales Executive)- Advice

    Habarini Wakuu, Kwa mwenye ideas, maswali ambayo yanaweza kuulizwa na mawazo juu ya interview za sales kwenye banks, naombeni msaada kidogo, kwani hii ndo ya kwanza kufanya, na napenda kuifanya vizuri kabisa. Ahsanteni
  12. Jiggy El Jefe

    Ushauri wa Biashara ya kuwekeza, kwa Tsh 2 million (Mwanza)

    Shukran mkuu[emoji120] ntaufanyia kazi ushauri wako
  13. Jiggy El Jefe

    Ushauri wa Biashara ya kuwekeza, kwa Tsh 2 million (Mwanza)

    Wakuu, nnaomba ushauri na mawazo juu ya biashara nzuri ambayo naweza kifanya Jijini mwanza, nikiwa na kiasi cha Tsh 2 million. Nahitaji kwenda kuishi na kufanya Biashara mkoa huo, Ushauri, Maoni au Mawazo utakua msaada kwangu. Ahsante.
  14. Jiggy El Jefe

    USHAURI: Maumivu ya kifua upande wa kulia (Chest side pain)

    Ntashukuru sana mkuu, niko hapa nakusubiri.
  15. Jiggy El Jefe

    USHAURI: Maumivu ya kifua upande wa kulia (Chest side pain)

    Sawa mkuu ntaenda hospital za hayo mambo, ila TB haiwez onekana kww xray?? i mean mapafu yalioathirika hayafahamiki kwa xray? maana nilipiga na haikua na tatizo lolote kuhusiana na hayo.
  16. Jiggy El Jefe

    USHAURI: Maumivu ya kifua upande wa kulia (Chest side pain)

    eneo lenyewe ni hapo penye blue mark wakuu.
  17. Jiggy El Jefe

    USHAURI: Maumivu ya kifua upande wa kulia (Chest side pain)

    Hahaha Hapana mkuu, nna uhakika nalo, liko vyema. eneo lenye maumiv ni sehem ndogo tu kwa ujumla...sidhan kama godoro pia lingeweza ku-attack eneo dogo kama hapa, kama lingekua bovu...
  18. Jiggy El Jefe

    USHAURI: Maumivu ya kifua upande wa kulia (Chest side pain)

    Asante kwa ushauri mkuu, nitaufanyia kazi pia.
Back
Top Bottom