Search results

  1. mbalazo docta

    Foundation course bado IPO

    Wana jforum naomba kufahamishwa km foundation course inatumima miaka hii ya sasa na huwa inakuwaje kuwaje.?? NB jukwaa la elimu usijibu kidaku mbona majukwaa ya udaku yapo tu hujui kitu kaa pita kushoto kwenye huu Uzi watu wanashida ya kufahamu
  2. mbalazo docta

    Msaada ualimu cheti>>>chuo kikuu

    Nimemaliza kidato cha sita nikapata ESS nikaapply cheti ualimu (grade A) Je ntafika chuo kikuu kwa njia gani ?? Nifahamisheni Tafadhali [emoji120][emoji120][emoji120]
Back
Top Bottom