Search results

  1. machasembo

    Ukiacha mapungufu yake mengine, Lowassa ni mwanasiasa ambae ni very civilised

    Sana, jamaa amejaliwa hekima na busara, hata kujiuzulu kwake ni busara zilizomuongoza otherwise angeweza kumaliza na mkwere akiwa PM
  2. machasembo

    Wapi naweza kujifunza kichina ?

    Umeshapata hiyo shule? Na mimi nataka kujifunza KICHINA, KITURUKI na KISUKUMA
  3. machasembo

    Serikali yaamuru KKKT kuufuta waraka. Yatishia kulifuta "Baraza la Maaskofu wa KKKT" na kuwashitaki

    Hawa wachungaji wa kwanza mwaka 1920, huyo msajili ja katiba yake ya mwaka 1963 anayetaka kufuta taasisi ya kanisa la KKKT sidhani kama ana akili nzuri
  4. machasembo

    Serikali yaamuru KKKT kuufuta waraka. Yatishia kulifuta "Baraza la Maaskofu wa KKKT" na kuwashitaki

    Wamissionari wa kwanza wa kanisa la KKKT walifika 1880
  5. machasembo

    Nyalandu: Watanzania wenzangu tupinge kubaguana

    Ameamua kweli kweli daadeki
  6. machasembo

    Urafiki wa Mwakyembe na Jenerali Ulimwengu, na uongozi huu wa Magufuli

    Tumbo tumbo kitambi tumbo kitambi
  7. machasembo

    Urafiki wa Mwakyembe na Jenerali Ulimwengu, na uongozi huu wa Magufuli

    Penye kujaza kitambi mapochopocho ndo pakuangalia zaidi.
  8. machasembo

    Gazeti la Raia Mwema lafungiwa kwa siku 90. Wadaiwa kumlisha Rais Magufuli maneno

    Teh teh teh, hivi rais haoni aibu kabisa?
  9. machasembo

    Jenerali Ulimwengu: Rais ataepukana na kiburi ikiwa atakubali kujishusha

    Kiburi, jeuri, dhuluma (wanaobomolewa nyumba na wanaonyang'anywa mashamba yao), ubabe
  10. machasembo

    MREJESHO: Tiba ya maumivu makali ya kidole

    Mida hii ninavyoandika shemeji yenu kinamzingua siku ya 4 sasa, my wife kinamtesa, kumbe mafuta taa dili,
  11. machasembo

    Video: Hasira za Rais Magufuli kwa "watu wazembe"

    Wapumbavu sana hawa (in JPM voice)
  12. machasembo

    Itakuwaje siku Tundu Lissu atakaporudi uwanja wa ndege anawapungia waliokuja kumpokea?

    Yule mwenye SMG anaweza kujitokeza katikati ya watu, ila akithubutu kufanya ujinga watu watagawana mishkaki hapo hapo
Back
Top Bottom