Search results

  1. B

    Yanga hii ya Lwandamina, hapana

    Mkataba wake uliisha mwezi ulopita ,wakaamua kumuongezea tena ,ila kiukweli yanga inachechemea hakuna parfomance kabisa,yaani kiukweli tunabahatisha tu ,Tim haiko sawa,sab zake nazo muda mwingine haziisaidii Tim kabisa Sent using Jamii Forums mobile app
  2. B

    Jerry Muro: Uongo wa dereva wa Lissu ni kusema umefuatiliwa na gari muda wote hujachukua hata Namba ya gari?

    Angesimama kwenye uandishi tu! Politics angeachana nazo zitamfanya apoteze umahiri wa uandishi na anajiweka pabaya zaidi kwa hayo makundi ya kisiasa anayojimix ,nafikiri Jeri muro anahitaji ushauri anapotea,na kujiongezea maadui bila sababu. Sent using Jamii Forums mobile app
  3. B

    Polisi kamateni huyu kwanza na wengine wenye tabia hizi

    Mmmmh! Huyo Dogo keshajichanganya,sasa anaanza kuishi kama kindege,huku polisi wanamtafuta,hukuwafuasi wenye hasira taaabu kweli kweli,matatizo mengine ni ya kujitakia!!? Sent using Jamii Forums mobile app
  4. B

    Polisi Dodoma: Mwenye taarifa kuhusu waliompiga Lissu risasi apeleke polisi

    Kichwa cha habari kinajieleza ,wengi wameandika kama wanakimbizwa,hakuna utulivu,vielelezo wala maelezo ya kina kuhusu tukio la kupigwa risasi Lisu.Naomba mwenye maelezo kwa kina atujuze kwa utulivu sio kwa mihemko kama habari za wengine hazieleweki. Sent using Jamii Forums mobile app
  5. B

    Rais wa Chama Cha Mawakili Tanganyika(TLS), Tundu Lissu alipobariki uminywaji wa kudai Haki Mahakamani

    Haswaaa!!?hapo umenena Sent using Jamii Forums mobile app
  6. B

    Mkataba Mlimani City kufumuliwa baada ya CAG kushtukia upigaji wa kudumu miaka 50-85

    Safi sana no jambo jema kupambana na kuhakikisha serikali inaata mgao wake unaostahili ktk mradi huo. Sent using Jamii Forums mobile app
  7. B

    There is something wrong with Morogoro Road

    Hilo ndo tatizo la short term plan kungelikua na long term plan za ujenzi wakati wanajenga barabara za mwendo kasi,wangejenga na ubungo interchange sasa walikurupuka leo tena wanarudi kujenga interchange ,wakimaliza ndo utasikia wanaanza ujenzi wa barabara 8 hilo eneo wanalobomoa mbezi hivi sasa...
  8. B

    Masharti mapya kwa wakopaji kutoka bodi ya mikopo ya elimu ya juu

    Sioni kama ni haki kuwabagua watoto wa wakurugenzi,mameneja ktk makampuni,viongozi wa umma na kisiasa na waliosoma Shule binafsi hii sio sawa hata kidogo kwa sababu kuna wakati maisha yanapanda na kushuka so kuwanyima mkopo kwa sababu hizo ni "ubaguzi" Sent using Jamii Forums mobile app
  9. B

    Masharti mapya kwa wakopaji kutoka bodi ya mikopo ya elimu ya juu

    Sent using Jamii Forums mobile app
  10. B

    Vyombo vya Habari vya Tanzania tunahitaji taarifa sahihi za tukio la msikitini Kilwa..

    Tatizo vyombo vyetu vya habari ni wavivu au hawajui wajibu wao, huwezi kutegemea habari kwenye press conference za kuambiwa na RPC au kiongozi yeyote,halafu ukaileta kama ulivyoambiwa au kuhutubiwa,ni lazima kuwe na waandishi wafatiliaji,wachokonozi,wachunguze kwa kina kisha wapime walichoambiwa...
  11. B

    Jambazi achomwa moto Kibiti

    Adhabu kama hii haifai na inapaswa ikemewe tuliweka mahakama za nini kama tunahukumu wenyewe? Sent using Jamii Forums mobile app
  12. B

    DAR: Mtoto wa miaka 11 abakwa na kunyongwa

    Hiyo ni kweli kabisa, yanapotokea matatizo kama Haya ,huu ndo muda muafaka wa kujifunza ili tusirudie tena makosa kama Haya,unapowakaribisha ndugu wakae kwako kuwe na sababu za msingi sana, na sio ooh!anangoja matokeo ya mtihani au kaja nimtafutie kazi, hiyo hapana unaweza kuleta balaa nyumbani...
  13. B

    Hili gazeti la Uhuru ni vichekesho, wamefuta neno UKUTA kwenye fulana ya Lissu

    Undishi wa aina hiyo unaitwa "Ukanjanja" hakukua na sababu ya kufuta maandishi halisi ya hiyo t shet Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom