Search results

  1. I

    Chumba cha kupanga.

    Nahitaji chumba cha kupanga,maeneo ya Ubungo,Kimara na Magomeni.Kiwe self container nyumba safi mpya.Pia nataka kujua niandae bei gani.
  2. I

    Msichana wa kazi(house girl)

    Anahitajika haraka awe na uzoefu wa kazi hiyo.Mahali ni Moro mjn.elimu angalau form 4.Ni PM
  3. I

    Kiwanja Kiwanja.

    Kipo kiwanja 2 in 1, kimepimwa maeneo ya Tubuyu 88 Morogoro.Bei maelewano,dalali hatakiwi.Ni PM.
  4. I

    Ni sifa gani mtu awe nazo kuwa dalali wa Mahakama

    Naomba kwa wenye uzoefu na kazi hiyo mnijuze kama kichwa cha habar kinavyosema hapo juu .
  5. I

    Unahitaji nyumba /kiwanja kununua na nyumba /chumba kupanga.

    Usihangaike waone mabingwa wa uuzaji viwanja na majumba pia wapangishaji wa nyumba na vyumba hapa Morogoro mjini wapigie simu 0788 244 666.
  6. I

    Picha za wanawake wa Kihaya

    Kama upo vzr tupia picha hapa na uwe unahitaji mme wa kukuoa na uwe series kwa hilo Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom