Nimeshtuka sana kuona hilo Jina hapo Gwaza Steven Mapunda mtoto wa Referee mzoefu wa football....nilisikia kama mwezi huyu mshkaji yuko Keko jamaa alimuona...dah ni schoolmate Muhimbili Primary School LY88
Huyo Mzee Makamba anaongea sana utadhani yeye ndiyo alikuwa mstari wa mbele...yeye alikuwa ni MPISHI sasa atamuona wapi mstari wa mbele? Kama anabisha na aseme kama hakuwa MPISHI mtu yoyote aliyeenda naye muulizeni atawaambia..Mimi Marehemu Baba yangu Mkubwa alikuwa nae.
Wala haina haja hiyo...siku hizi Tigo International Package outside Africa
TZS. 1,000 = Dakika 20
TZS. 5,000 = Dakika 100
Crystal Clear kama unapiga bongo hapa hapa
Huyo Mama ni Panja kitambo alishapata kashfa akiwa UN - Nairobi ilihusisha rushwa kwenye Procurements walichukuwa rushwa kutoa deal la USD 100m kwa supplier
Ok wauzaji Wengi toka US hawana option ya kutuma huku Africa, cha kufanya ni kama una mtu kule iende kwake na mara nyingi within US inakuwa free shipping then huyo mtu wako afanye utaratibu wa kukutumia huku
Halafu Huyu jamaa inaonekana ana interest zake nyingi sana huku bara na kila mara anakuwa huku Dar anarandaranda na Benz ML yake.....inawezekana kabisa kapewa hela....ana nyumba yake kubwa pale Kawe inatizamana na ya Basil Mramba na zote zilikuwa zimekodishwa na kampuni ya kitapeli ya...
Viongozi wa nchi hii ni wa ajabu kweli...sasa hawa wajumbe wa BMK wanafurahia utadhani ndiyo mwisho wa mchakato na Katiba mpya imeshapatikana hiyo waliyoipanga wao.....hii inaonyesha kwamba kitu walichokopitisha wao ndiyo hicho hata kama wananchi hawakitaki.....kweli Watanzani ni wapole cjui hao...
Nimecheki hapa itakuwa fresh, ngoja niweke hela kwenye bank card yangu niliyolink na paypal ili niweze kununua kesho huwa siiachi hela kwenye hizi card za kulipia online kwa sababu kuna watu wanna hack kwenye account yako na kutumia hela so kesho asbh itakuwa bomba
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.