Search results

  1. Dread Pirate Roberts

    There's more to web development than PHP

    PHP ni moja ya scripting language ninayoichukia sana, sitaki kuisikia wala kuiona!
  2. Dread Pirate Roberts

    Taxi drivers wa Tanzania pamoja na ICT professionals wanashindwaje kuunda system kama ya "UBER"?

    Ni kitu gani kipya kwenye application yako ambacho kinatofautisha na Uber?
  3. Dread Pirate Roberts

    Modem inanizingua

    Hakikisha Windows 10, operating system unayotumia kufuatana na hiyo picha inaona drivers za hiyo modem yako. Siyo kila operating system hizi modem zinaweza kufanya kazi. Angalia operating system specifications ya hiyo modem yako.
  4. Dread Pirate Roberts

    Kila unalotakiwa kujua kuhusu IPTV (kuangalia TV kwa kutumia internet)

    Nyumbani nimetumia kompyuta yangu ya zamani ambayo nimeweka Linux Operating System na XMBC-Kodi na kuinganisha mtandaoni kwa ajili ya burudani. Ni rahisi na nafuu.
  5. Dread Pirate Roberts

    For Sale!

    Ni mara yako ya kwanza kuona bidhaa ikiuzwa na muuzaji kakwambia bei ni maelewano? Hizo kitu zipo sokoni narudia tena bei maelewano.
  6. Dread Pirate Roberts

    How to buy Bitcoin and Ethereum

    If you've seen the incredible upward momentum of Bitcoin, Ethereum, and other cryptocurrencies, you've maybe also considered getting in on the action. Now, you're gonna learn how. But first, a disclaimer: Bitcoin, Ethereum, and so many of the other cryptocurrencies out there can be a way to pay...
  7. Dread Pirate Roberts

    For Sale!

    Inauzwa, bei maelewano. Dar es Salaam na Mjini Kibaha
  8. Dread Pirate Roberts

    Ukweli mchungu: Tanzania hakuna ma IT..kuna mafundi mchundo tuu

    Hilo ni tusi kwa watu wa kada ya tehama. Japo haujakiri kuwakosea watu wa kada hii, ila umekosea. Mimi nimekusamehe, ila usirudie tena upuuzi huu!
  9. Dread Pirate Roberts

    Network inasumbua

    Unapoflash simu, ni sawa na kama vile unapoweka(install) operating system mpya kwenye komputa, kitendo hiki kinafuta operating system iliyopo na kuweka nyingine. Kwanini haupati network? Hii ni kwasababu hiyo operating syste uliyoiweka haina network drivers za hiyo simu yako. Kwasababu original...
  10. Dread Pirate Roberts

    Two-Step Verification/Two factor authentication

    Yes for protection because unauthorized actor will not be able to supply the factors required for access.
  11. Dread Pirate Roberts

    The first step in protecting your digital security

    Learn here: Assessing Your Risks
  12. Dread Pirate Roberts

    CIA imekiri kuingilia siasa za Venezuela

    walifanya kitu kama hicho Chile, pia Argentina, jamaa ni watukutu!
  13. Dread Pirate Roberts

    Two-Step Verification/Two factor authentication

    kumbuka kutumia njia ya app kwa mfano Google Authenticator badala ya njia ya Email. Kwa watumiaji wa simu za Android ambao ni wengi, unaweza upakua Google Authenticator kwenye Play Store.
  14. Dread Pirate Roberts

    Two-Step Verification/Two factor authentication

    Umewezesha two-step verification kwenye account yako jamii forums au mtandao wowote? kama bado, wezesha sasa. Ni muhimu sana!
  15. Dread Pirate Roberts

    Mifumo ya udahili vyuo vikuu, tujadili matatizo na marekebisho yanayoweza kufanyika kuiboresha zaid

    Tatizo developers wengi siyo bongo hata nje hawafuati tekniki ijulikanayo kama TTD(Test Driven Development) ambayo inamtaka developer kutest kwanza programming concept. Utagundua kwenye hizi systems tajwa, error and exception handling iko hovyo sana. Unakutana na error ambayo unatarajia kuipata...
  16. Dread Pirate Roberts

    It is Baby Steps But Bitcoin is Taking Root in Africa

    inajicontrol yenyewe, its decentralized, no organization or state is behind it!
  17. Dread Pirate Roberts

    Mpango utakaowabana watumiaji wabaya wa Mitandao ya Kijamii

    Tor + VPN = Hakuna ataekuona unafanya nini na unawasilana na nani. Tafadhali tumia zote kwa pamoja. ZOTE!
  18. Dread Pirate Roberts

    Msaada: Sehemu gani Dar es Salaam naweza kubadilisha Bitcoins to USD

    Nilikuwa sijui namna gani nitaweza kubadili bitcoins kwenda local currency. No promo, sifanyi biashara, mimi ni mtumiaji tu wa bitcoins.
Back
Top Bottom