Search results

  1. delabuta

    Job Ndugai: Sijui nina watoto wangapi!

    Jamani wapare ni watata kwa vipi acheni uzushi
  2. delabuta

    Mgogoro ndani ya CHADEMA!?

    mtangoja sana magamba
  3. delabuta

    Spika Anne Makinda, something is wrong...

    jamani msimlaumu tatizo hana mume nyie mnamuona yuko normal? miaka 68 hajapata wa kuzeeka naye zaidi ya kuiba wanaume za watu
  4. delabuta

    Kwa hili la leo ni wazi kuwa CCM wamejiua!.

    kumbe ndio mpango wao kuwapeleka watu ambao hawahusiki mahakamani ili watufunge midomo imekuwa kwao vibaya sana ngubu ya umma.
  5. delabuta

    Hatimaye afande Kova ajibu shutuma juu yake

    Nimependa ujumbe mzuri wananchi tusikubwali kufa na chama cha mabwepande wanakupeni pombe na tishirt mkafanye vurugu wao wapo salama na familia zao, mwigulu unanuksi kwani jimbo umebinafsishwa mpaka hutaki mtu mwingine afanyemkutano? mbona ccm mnajidanganya hivyo???/
  6. delabuta

    Niliyojifunza katika siasa za CCM na CHADEMA!

    mawazo mgando hujaelewa elimu ya uraia ndugu.
  7. delabuta

    Hatimaye afande Kova ajibu shutuma juu yake

    kwa kifupi kova hana mvuto kwa sasa yeye alie tu amekosea picha imeungua kazi kwake makengeza yanazidi kila kukicha.pole kova.
  8. delabuta

    Huyu ndiye Waziri wangu wa Sheria na katiba

    hicho ni kichwa asiyejua ni magamba tu, sidhani kama kuna mtu hamjui huyo kama ni jembe.
  9. delabuta

    CHADEMA: Dar mpaka DC funika mbaya

    asante mkuu kwa taarifa nzuri
  10. delabuta

    Hukumu ya kupinga ubunge wa Mhe Opulukwa (CHADEMA) kesho 4/05/2012

    asante chitanada kwa taarifa endelea kutujuza. leo shitani ataumbuka.
  11. delabuta

    Hukumu ya lema ilipikwa.

    mwenyewe nilipigiwa simu na kigogo serikalini juzi akiniambia matokeo ya arusha yatabatilishwa lema sio mbunge tena.nikamwambia acha tuone kumbe kweli, jamani katiba ibadilishwe mahakama ziwe huru.
  12. delabuta

    Nassari yuko mjini leo

    asante kwa taarifa mkuu
  13. delabuta

    Godbless Lema avuliwa ubunge

    hayo tuliyajua tangu muday kwani ccm walishasema tayari kwamba uchaguzi arusha utarudiwa so tumejiandaa cdm
  14. delabuta

    Natangaza nia ubunge jimbo la mtera 2015

    kama upo tayari jipange usiogope uchawi kwa sababu hata arumeru ccm walikuja na waganga wao akina maji marefu but walikutana na jesus akawamaliza wote so wewe jipange 2015
  15. delabuta

    William Malecela: Dissaster waiting to happen

    Hana jipya ubishororo tu kutoka ni ny mpaka kuutaka ueast africa kuna shida hapo
  16. delabuta

    William Malecela - Mbunge Mtarajiwa Afrika Mashariki

    atapapta kwani kurithishana ndio jadi zao si unaona makamba kaacha mbegu, na malechela anataka achembegu kikwete atamwacha riz, na wengine wengi jamani mwashaangaa nini
  17. delabuta

    Baraza la wanawake wa CHADEMA mpo?

    nimefurahi sana kusikia kwamba bawacha wabatafuta wanawake na wadada mbona tumejaa tele tatizo hatujui tuanzie wapi viongozi wetu mmelala jamani amkeni basi muda ndio huuu wanawake ndio wapiga kura tunaomba mawasiliano ya bawacha ili tujue tunaanzia wapi please
  18. delabuta

    Nataka NAPE ujibu hili

    Jamani kwani mlitegemea hiyo nepi iseme nini zaidi ya aliyosema ndio mwisho wa unafiki umekaribia ila mungu ni mwema malipo ni hapa hapa duniani, mutayaona muda si mrefu.tuwasamehe hao magamba kwani hawajui wafanyalo.
  19. delabuta

    Mkutano wa Pongezi kwa CHADEMA

    thx god tunaamini hata sisis ipo siku utatuondolea hwa mafisadi kwenye jimbo letu
Back
Top Bottom