nakubaliana na wadau walio tangulia kuchangia hoja kuwa mapinduzi yanahtajika tena sana ili 2fikie malengo ye2 kama wenze2 walipo, ebu angalia japan 2lianza nao ktk level ya kiuchumi bt now wako mbali sana, do you know why? Because, the whole country is concentrating in development activities...
sasa kiliendelea nini baada ya lema na wasikilizaj wachache kutoka nje ya mahakama hiyo? na je jaji alitoa maamuz gan baada ya kupewa info kuwa hamna speakers zozote zilizo fungwa nje ya mahakama hiyo?
Kuwa ruled na chama kimoja co kosa kama ve maendeleo yanaonekana bt kama -ve maendeleo ndyo 2nayo kumbana nayo bac leave chadema watake nafasi but nt otherwise. Poa mazee
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.