Search results

  1. jiwelampaka

    Sofa zinaitajika Mbeya

    Habari kama kichwa cha habari kinavyojieleza naitaji sofa nzuri za kisasa nipo mbeya kama kuna fundi au mfanyabiashari wa sofa anaweza nicheki pm nimpe number ya whatsapp anitumie picha Asante
  2. jiwelampaka

    Msaada waungwana jinsi ya kuset hak ka vodaphone

    Habar ya wekend waungwan jan katik pitapita zang kkoo nikafanikiwa kununua hak ka voda phone sasa leo natak nikatumie nashidwa hat kupat menu tok morng na haha ulimi nje nikawaza jins ulya kupat msaad nikapat jibu hap ndo mwisho wa matatizo so masada jamn hap nilipofikia nini cha kufanya *ASANTE
  3. jiwelampaka

    Msaada wa kupata vipindi vya star Tv

    Habar waungwana" wap nawezapat ratiba za vipindi vyote vya star tv hususani jan tareh 10 na leo 11 asante
  4. jiwelampaka

    Natafuta mashine ya selcom au maxmalipo

    Wadau mwenye mashine ya selcom au maxmalipo naitaji 0625529278
  5. jiwelampaka

    Hawa ndo wachaga bhanaa

  6. jiwelampaka

    Msadaa waungwanaaaa..

    Kwanza poleni na majukumu ya kujenga taifa.. Wadau msaada siku ya kumpa mimba mwanamke ambae kila tarehe 28 anaingia kwenye siku zakee,, plz Sent from my SM-G920F using JamiiForums mobile app
Back
Top Bottom