Wakuu habar zenu! Ninahitaji kuchukua mzgo wa nguo kitoka uganda niko dodoma ili nifanye biashara ya nguo! Msaada wa namna na taratibu za kufata hapo ili kufanikisha isue yangu hii' passport ninayo!
Nimehitimu kidato cha sita mwaka huu. Nimepata kusikia kidogo kuhusu kozi ya Doctor of Pharmacy(pharm D.)
Naomba kufahamu kama kuna chuo tanzania kinatoa hyo koz au kama kuna mpango wa kuianzsha.
Pili nahitaji kujua kuhusu career yake yan baada ya hapo mtu anakua ana deal na nini?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.