Search results

  1. Mwakih

    Mwakyembe na ushirika

    Mwakyembe pole kwa majukumu. Nakumbuka nilitoa ushauri hapa jamii forum kuhusu ushirika ulioupeleka kule kyela wakati katika yale mazao yaliokuepo kwa ilani ya uchaguz kakao haikuepo ulitumia mamlaka kuhakikisha ushirika unaenda kyela. Wananchi walijaa na hasira sana lakini walikwisha kupa...
  2. Mwakih

    NSSF lini mtaanza kulipa wanachama wenu?

    Duh! Nipo najamaa zangu kampuni yetu iliisha fungwa sasa tukapanga tuchukue pesa tukafanye kilimo. Tumekanyaga nssf hadi sori zimeisha tunaambiwa bado file halijafunguliwa Duh! Nipo najamaa zangu kampuni yetu iliisha fungwa sasa tukapanga tuchukue pesa tukafanye kilimo. Tumekanyaga nssf hadi...
  3. Mwakih

    NSSF lini mtaanza kulipa wanachama wenu?

    Leo watu wameachishwa kazi kutokana na mazingira magumu ya wao kuendelea kuajiri, watu wanahitaji pesa zao ili waweze kufanya ustaarabu mwingine lakini mpo kimya na hela zao. Wapeni pesa zao jamani wakafungue hata vibanda vya mihogo.
  4. Mwakih

    Rais Magufuli aitaka Wizara ya Kilimo ijitathmini kuhusu mauzo ya zao la korosho

    Tatizo kubwa ni bei ya korosho ndo inayo wasumbua wakulima, je wizara inahusika vipi hapa? Duniani soko limezingua na sisi hatuna effect. Tunajisaidiaje hapa?
  5. Mwakih

    Rais Magufuli aitaka Wizara ya Kilimo ijitathmini kuhusu mauzo ya zao la korosho

    Je mkuu wa nchi anamaanisha kuwa waziri wa kilimo na manaibu wajiuzuru kutokana na kutofanikiwa kwa minada ya korosho? Maana nimemsikia Kassim Majariwa akisema wizara ya kilimo ijitafakari.
  6. Mwakih

    Muheshimiwa Waziri Mwakyembe; KYECU waanza na mnada hewa (feki)

    Nabado mwakani tunaingia na kwenye mpunga hadi muisome namba
  7. Mwakih

    Rais Magufuli tusaidie wanakyela

    Poleni wanakyela, Rais atakua amesikia kilio chenu. Vp kuhusu Rungwe na Busokelo nako kunakokoa je hakuna ushirika huko?
  8. Mwakih

    MARA: Mbunge wa Serengeti(CHADEMA), Mwl Marwa Ryoba Chacha ajivua uanachama na kujiunga CCM

    Kila rakheri, msalimi jiwe mwambie mtaani kugumu.
  9. Mwakih

    Mwita Waitara: Ntaipasua CHADEMA vipande vipande wakiendelea kunifuatilia

    Kama uwezo huo anao akipasue kbsa maana ndio haja ya upande wa pili.
  10. Mwakih

    FINALLY: Serikali yaondoa zuio la kuuza mazao nje ya nchi

    Nafikiri hujazoea kuambiwa ukweli. Okay zwazwa mkuu.
  11. Mwakih

    FINALLY: Serikali yaondoa zuio la kuuza mazao nje ya nchi

    Jiulize nani kamtuma sio mnapiga mikelele tu.
  12. Mwakih

    Kwenye Jamhuri mengine hayawezekani, Tundu Lissu anafahamu pia

    ww je si ndo mbulula kabisa
  13. Mwakih

    System designer, blog designer, website designer anapatikana kwa bei poa kabisa

    Total cost of website please..........
  14. Mwakih

    Magufuli apiga STOP Safari za nje ya Nchi; Elimu Bure kuanza Januari 2016...

    wabongo tunataka afanye nn sasa hata kama tuko upinzani si lazima tupinge kila kitu
  15. Mwakih

    Zitto Kabwe atakuwa mpweke sana Bunge lijalo

    acha ukuda ww labda zittoni sawa na ukoo wenu wote.
  16. Mwakih

    Maimamu na Masheikh wa DSM waijibu Taasisi ya Imamu Bukhar-Foundation

    weka udini pembeni kidogo afu ndo tuanze kucomentau sio mkuu
  17. Mwakih

    Wachumi tuambieni, ahadi za Lowassa ndani ya siku 100 zinatekelezekaje?

    Dogo mbona unaharaka kama mkojo wa asubuhi sana. Tulia uone mambo. mabadiliko Lowasa
  18. Mwakih

    Kwa Nini Lowassa Anataka Urais Kwa Nguvu, Gharama Yoyote?

    mlikua wapi hata mtujuze leo? too late
Back
Top Bottom