Search results

  1. mdada jasiri

    Msaada/mawazo kuhusiana na kozi ya IT

    IT ni kozi nzuri iwapo huitegemei saaana kuendeshea maisha yako, ni moja ya masomo yanayohitaji ubunifu na kujituma sana kuyafanya ili yakuletee matokeo mazuri,kama umependa kweli toka moyoni nakushauri usome yatakutoa kama sio kwa kuajiliwa basi hata kujiajili inawezekana pia!
  2. mdada jasiri

    Mwanamke wangu ni kikojozi

    mpeleke CCBRT watamsaidia tatizo hilo mbona linatibika pale wako vizuri sana
Back
Top Bottom