Search results

  1. Jay8

    Kukohoa sana wakati was usiku

    Hio ni pneumonia mkuu. Wai hospitali
  2. Jay8

    Wa mwisho ndiyo mshindi

    Mshindi ni mimi
  3. Jay8

    naomba kufahamu kuhusu dawa zenye salfa na zisizo na salfa na

    Nielewavyo kuna watu wana allergy na sulphur, hivo izo ambazo hazina ni mahususi kwao
  4. Jay8

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Bado siku moja Wai tufurahi Tuma message inbox nkuunge group la whatsapp Jay
  5. Jay8

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Jay
  6. Jay8

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Io ni chelseafc Twitter Jay
  7. Jay8

    Series (Special thread)

    Hello wadau. kwa Ambazo mim nimecheki zifuatazo zipogo kichwani mpaka kesho. Kama umeiskiaskia mojawapo na unajifkiria usisite. 1.Breaking bad 2.Game of thrones 3.Jumong 4.House of cards 5.Into the badlands 6.Shameless 7.13 reasons why 8.Peaky blinders 9.Taboo 10.Walking dead 11.Westworld...
  8. Jay8

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Nafahamu vizuri. Ila ukiitisha mkutano wa chelsea wakaja man u bas ujue uyo ana tatizo Jay
  9. Jay8

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Hii ni kufahamiana na kuyajenga. Mim ciwez enda grouo la man u hata iweje. Ukiona mtu anakuambia ni arsenal alaf akaja event ya chelsea ujue kua anaikubal kiaina Jay
  10. Jay8

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Kweli kabisa. Jiorganizini mfanye kitu kizuri tutaongelea ilo pia tujue tunawasaidiaje Jay
  11. Jay8

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Kwa mashabiki wa Chelsea, Ijumaa tunatarajia kukutana pamoja pale TOMONI Victoria karibu na kona ya kwenda Mwananyamala kuanzia saa 12 jioni lengo ikiwa ni kufahamiana na kupanga pamoja kuhusu sherehe yetu tunataka iweje wakati huu ambao kuna juhudi mbalimbali zikiendelea kufanikisha hilo,kila...
  12. Jay8

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    [emoji91]Chelseafc mpoo?? [emoji91] [emoji170]Instagram tunaitwa, Chelseafc.tanzania [emoji170]Tuma namba inbox nkuunge group la whatsapp. [emoji843]karibu maswali
  13. Jay8

    Hakuna namba 6 kama Sergio Busqet!!

    Kweli. Wapo wengine. Sema tu nimetaja wachache wa mfano..
  14. Jay8

    Hakuna namba 6 kama Sergio Busqet!!

    Hahahahahah. Pamoja
  15. Jay8

    Hakuna namba 6 kama Sergio Busqet!!

    Bila kusahau kante
  16. Jay8

    Hakuna namba 6 kama Sergio Busqet!!

    1.Sergio busquets hawana mpango wa kumuuza 2.anathaminika sana barcelona ndo maana anacheza kila msimu bila kua na sub. 3.pia sergio anafaa mifumo flani. Yule sii mpiga buti. Mourinho tunavomjua mpaka sasa namba 6 wake wengi anapenda wachafue. Mfano vidal au casmeiro wanaeza wakamfaa
  17. Jay8

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    [emoji91]Je wajua? [emoji843]Kuna jezi ya chelseafc iliyosainiwa na wachezji wote kushindaniwa na washabiki wa the blues [emoji843]jezi iliosainiwa na caballero kushindaniwa na washabiki wa the blues [emoji843]ingia kwenye website yetu official ya chelseafc.com [emoji115] tuma namba yako kwa...
  18. Jay8

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Ulaya hawaendi ivo. Akikurupuka anaeza akawa ndo kachezea career yake ya mpira !!
Back
Top Bottom