Search results

  1. Jux08

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Najitundika kokoro hilo Sent using Jamii Forums mobile app
  2. Jux08

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Wadau niaje, hivi ile jackpot ya BETPAWA ikitokea mechi kadhaa (mfano 2)zimekuwa cancelled zinakua zinahesabiwa kawaida au hawahesabu ? Sent using Jamii Forums mobile app
  3. Jux08

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Nlikua nafikiria apo kwny kwny chelsea weka GG tu
  4. Jux08

    Kozi ya manufaa veta

    Nafkir cellular phone maintanance ikienda sambamba na computer maintanance itakua poa zaidi
  5. Jux08

    Kozi ya manufaa veta

    Hii cellular phone maintanance nimeilewa sana mana watu wanaharibikiwa sana simu, so nikiweka tangazo tu hata nje ya geto nafkir wateja watakua wanakuja kama wote..thnx sana
  6. Jux08

    Kozi ya manufaa veta

    Thanks sana
  7. Jux08

    Appreciation

    Jus feeling good to interact.
  8. Jux08

    Appreciation

    ..would lyk to appreciate all the members in this platform. That is it! Thanks.
  9. Jux08

    Kozi ya manufaa veta

    Hii iko vzr au sio
  10. Jux08

    Kozi ya manufaa veta

    Wadau, ni kozi gani naeza kusoma veta hapa ikanipa manufaa kitaa..!??
  11. Jux08

    Mtu mwenye GPA ya 3.5 degree na 4.0 Masters anaweza kufundisha chuo kikuu??

    Aisee, mimi nina 3.6 undergraduate. Ila saiv nasoma open masters ya curriculum gpa inasoma 4.5, so nkitafuta chuo badae naeza kuhangaika sana..? Au niunge PhD ili kuongeza uzito.?
  12. Jux08

    Masters of Education Administration, Planning and Policy studies. (MED Apps)

    Aisee OUT sikuiz wako vzr eehh..? Ule mtazamo kuwa open baina kiwango sikuiz labda unapungua..mi niko open now masters na msuli ni wa hatar
  13. Jux08

    OPEN UNIVERSITY

    Yeah, mtazamo huo si mzuri nafkir
  14. Jux08

    OPEN UNIVERSITY

    Au andika tu webometrics tanzania, itakupeleka moja kwa moja
  15. Jux08

    OPEN UNIVERSITY

    Official ranking site ni webometrics.com
  16. Jux08

    OPEN UNIVERSITY

    Ukizungumzia vyuo vikuu tz, utakutana na wanaosema kuwa udsm, mzumbe n.k ndo vyuo bora zaid huku Open university wakiponda vby..lkn ukiangalia ranking unakuta open inaizidi mzumbe..tatzo ni nn
  17. Jux08

    First years na ulimbukeni wa kusoma udsm

    Daaahhh we jamaa umenigusa kbs, mimi nimesoma SAUT bachelor, Masters nasoma Open saiv, japo sina inferiority complex..lkn nafkir PhD nikichukulia University of Nairobi itapendeza zaidi au mnasemaje wadau
  18. Jux08

    Je, niache Bsc. Busness Information Tech niende Education?

    Yani kama unaenda ualimu unajitafutia umaskini wa kudumu ndg
Back
Top Bottom