Nawashauri Vijana wa CHADEMA waachane na Shibuda. HAENDI POPOTE NOT COMMENT ANYTHING ANACHOONGEA NDIVYO ALVYO. NA HAENDI MAHALI POPOTE . NINAAMINI HAWEZI KUGUSA NUCLEUS YA CHADEMA. NA KAMA JIMBONI HAFANYI CHOCHOTE TUTAMTOA TU ASITUTISHE CHOCHOTE. TUNAMJUA IN AND OUT NI DEBE TUPU!
Hakuna lugha ngumu, acheni utumwa wa lugha. Kwani blog hii ni ya kiingereza? Tukitaka kila mmoja aonyeshe anachojua tutaelewana kweli?
Aliyeleta thread hii anatakiwa aitafsiri.
a
Msihukumu haraka bila kuchunguza. Kwani wezi hawawezi kughushi namba za gari la Nyalandu?
Acheni vyombo vya dola zifanye kazi. Tutaujua ukweli tu. Najua Nyalandu ana maadui wengi wanaotaka kumvurugia mambo yake.
Nyaraka za serikali hazilindwi kwa rungu. Silaha maalum lazima zitumike.
Ni kweli atueleze ataifanyia nini EAC akichaguliwa kuwa mbunge? Hatujaona any oustanding legacy aliyofanya nchini.
Mimi namshauri akagombee jimbo lililokuwa la Baba yake he can do something kuliko Lusinde asiyekuwa na hekima.
Wewe una wasiwasi gani? Makamanda wetu si walala hoi kama unavyofikiri. Think big acha kuwaza small issues. Lema is a hard working Man , ni mjasiriamali. Hakuingia bungeni kuganga njaa.
Tatizo wewe Mwenyewe hujalomaa.Kwa weledi wako mdogo uliochafuliwa na CCM hutaielewa CHADEMA ni mpaka hapo utakapoiona CHADEMA imepewa NCHI na wananch wenyewe.
Watu msimung'unye maneno. Mbatia kwa sasa hawezi kuingoza NCCR mageuzi. Weledi wake ni mdogo sana. Kama alishindwa kupata Ubunge wa jimbo la Kawe, ataweza kweli kuongoza chama kama Mwenyekiti wa Taifa. Nampa usahauri wa bure. Stepu down na uwe msahauri wa chama kama akina Mzee Mtei na Bob Makani.
Na wewe acha kuegemea kijinga. Nani kakwambia kuwa forum hii ni ya CHADEMA?
Uwe na mawazo mapana. Hapa tunaongea mambo ya maana yenye kuhusu nchi yetu na kizazi kijacho.
Chuki binafsi hazikusaidii. Baki na ujinga wako.
Migiro hawezi kuongoza nchi. Hana record yoyote ya uongozi bora. Kote alikotoka ni kazi laini tu. Niambieni mwananchi gani wa kawaida anayemjua Migiro. Hebu tuache makosa tuliyofanya watanzania mwaka 1995.
Jamani Hiza ni mtu aliyepitwa na wakati. Do not count him kama mwanasiasa. Halafu shule yake kiduchu.
Mh. Shibuda ni Mwanasiasa Jasiri, amewezaa chama na kapata ubunge. Matatizo mengine madogomadogo atasaidiwa na Komandoo SLAA.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.