Search results

  1. tikatika

    Watanzania wanapenda Sana kila kitu kuhurumiwa tu. Hakuna taarifa za Lissu Bungeni

    nani alitakiwa kutoa taarifa kati ya spika na mwathirika Lissu. kumbuka Lissu kaumia kazini. sio nyumbani kwake ni nyumba za serikali ambazo wameandaa kwa maafisa na kuwahakikishia ulinzi wawapo kazn(bungeni)
  2. tikatika

    Lissu amjibu Ndugai. Asema anatekeleza agizo la Magufuli amfukuze ubunge ili amshughulikie uraiani, asisitiza anarudi Sept 07

    hadhi yako sio ya bungeni tena ww ni wa kwenda ikulu, hata usjali Mungu kakwandalia makubwa
  3. tikatika

    Serikali yasalimu amri sheria ya takwimu

    Mpaka wabanwe ndio huamka.haya ile timu ya kuunga mkono pingeni sasa. maana tulipopinga mkasema sisi sio wazalendo sasa sijui na serikali yenu sio wazalendo ama vipi??
  4. tikatika

    Mbunge Garisa: Tanzania Walituchomea kuku,wakapiga mnada ng'ombe wetu

    huyu mbunge kaongea ukweli mtupu , sisi ndio tulikua wa kwanza kuleta nongwa za kubiashara. nataka anaye mpinga huyu mbunge apinge haya anayoyasema kama hatukufanya
  5. tikatika

    Spika Ndugai: Kuna kiongozi kijana wa Serikali hajitambui na hajielewi

    mimi naweza kumwondoa kwa kushinikiza aliye mteua amtoe. unataka kuniambia hata afanye madudu gani wananchi hatuna uwezo wa kumtoa mpaka tumsubili aliyemteua??
  6. tikatika

    Spika Ndugai: Kuna kiongozi kijana wa Serikali hajitambui na hajielewi

    sio kweli ndugu wanaotakiwa kujaji kama anafaa au hafai ni anaowaongoza.sisi wana dar ndio tunatakiwa kumkubali na kumkataa na sio aliyemteua. je akiwa ni rafik yake kiasi cha kumwonea aibu kumtengua ni kigezo cha ubora wake??
  7. tikatika

    Spika Ndugai: Kuna kiongozi kijana wa Serikali hajitambui na hajielewi

    ni muda mrefu kumekua na malalamiko toka kila pande juu ya uwezo wa makonda. awali ilionekana ni upinzani ndio wana wivu naye lakn kadri siku zinavyosogea ule ukweli uliokua unapingwa muda mrefu umeanza kujifunua. kauli ya spika sio ndogo ni kubwa sana haipaswi kupuuzwa. kasema mkuu wetu...
  8. tikatika

    Kauli ya Spika Ndugai kuhusu Makonda imetupa siri tatu muhimu

    alisikika akisema ana nguvu! nguvu gani hadi spika anamwogopa?? amedgihilisha maneno ya watu kwamba makonda ni naibu rais . kama alivyosema bashite mwenyewe ukimwondoa Magufuli ni yeye kwa viongozi wanaojiamini. kwa lugha rahisi yeye na rais ni sawa sawa
  9. tikatika

    Ningekuwa Rais wa Tanzania kuna watu ningewavua Uraia kwa kukosa Uzalendo

    ww mwenyewe ushakosea, unaongelea mpira hapo hapo unapiga kampeni za urais 2020. sasa hapo unategemea upinzani waungane na ww kwa lipi?? ccm ndio wanaharbu mpira. taifa star ilishinda sifa kwa magufuli ikifungwa mnakausha kama hampo. kama mnavyompa sifa mpeni lawama pia kwa kufungwa
  10. tikatika

    Nchi ya Ajabu: Nimewaona Wafanyabiashara wa Tanzania wamekuja Kampala kununua Bidhaa za China

    tatzo ni sheria zetu. hizi sheria zilikuwepo miaka yote. na ilikua ukipatikana lazma ulie na kusaga meno hata kipindi chawatangulizi wa magu. mfano mzuri mafuta. kodi ni kubwa kias kwamba yanapitia dar kwenda malawi na nchi zingine lakn cha ajabu hapa kwetu penye souse ni bei kubwa kuliko huko...
  11. tikatika

    Kama Prof. Kabudi analia alikuwa jalalani (UDSM) na sie wanyonge si tuko chooni sasa?

    Pumbavu Pumbavu Pumbavu Yaan mwangwi huh unatawala kichwa changu
  12. tikatika

    Kikao cha siri kisichojulikana na watu wasiojulikana Magufuli kuwa Rais

    pumbavu! nahisi wewe sio mtanzania! kiswahili tuu shida ndio utajua mabaya ya JPM? moja tuu la korosho kwa wenye akili alipaswa akae pembeni. amenunua huku hana wa kumuuzia anakuja kumfukuza waziri kwa kukosa wateja. hizi akili au matope??
  13. tikatika

    Msilaumu bure hawana uzoefu wa biashara

    nabii lema katika ubora wake
  14. tikatika

    Area 51 ni eneo gani haswa?

    alisha liandika hili huyu mvivu wa kusoma,
  15. tikatika

    Area 51 ni eneo gani haswa?

    the BOLD alisha elezea hili, pekua utaelimika.
  16. tikatika

    Mabilionea Afrika nzima hawazidi 20, hao 100 wa Tanzania watatoka wapi kwa muda aliobakiza.

    akili yako ndio matope,ukiwa una maana hiyo unataka kutwambia JPM hajui kwamba mabilionea wa madafu yetu tunafika milioni na ushee?? ubilioni ni pamoja mali unazomiliki je unaamini milioni moja hatufiki tunaomiliki bilion moja na zaid za kitanzania?? rais mwenyewe anajua anaongelea dolla ndio...
  17. tikatika

    Nyalandu: Niliamua kuacha Ubunge baada ya kuzuiwa kwenda kumuona Lissu

    hivi bado kuna mwanadamu hamwamwamini Nyarandu?? kuna mbunge gani kaenda kumwona Lissu? mnatoa mfano mama samia anaripoti kwa nani mpaka aogope kwenda kumwona?? ni mwinyi tuu ndio nahisi aliguswa na ubinadamu maana alifunga safari maana hata mama samia pamoja na kwenda alipitia baada ya...
  18. tikatika

    Bajeti ya ofisi ya CAG kupunguzwa kwa asilimia 50, nini maana yake?

    hawajaanza leo ni tangu wanaingia wanazifi kufyeka bajeti ya CAG mwishowe tutaambiwa hakuna haja ya CAG MAGUFULI ANATOSHA NA KUNA WATU WATASHANGILIA
  19. tikatika

    Wazo Fyatu: Hakuna Watu Wasiojulikana...

    mzee mwanakijiji unadhani wasiojulikana ni kweli kwamba hawajulikani?? aliye mtishia bape bastora anasema hajulikani lakn je ni kweli hajulikani? anajulikana na kila mtu alifanywa nini?? waliopiga bastora tajiri wa mwanza naye akawarudishia na kuwaumiza je hawajulikani si wanajulikana...
  20. tikatika

    Lazaro Nyalandu akamatwa na kushikiliwa na TAKUKURU mkoani Singida

    eti utawala huu nao una wafuasi na wanafurahia kabisaaaa yanayoendelea! kuna siku Mungu atatuuliza ulikua upande gani katika nchi yako! ulikua upande wa wanaoteswa au watesi wao??
Back
Top Bottom