Search results

  1. S

    Uchaguzi 2020 Azimio: Bunge la Marekani laisihi Serikali ya Tanzania na wahusika wote kuhakikisha Uchaguzi utakuwa Huru na wa Haki

    Wamarekani sio watanzania hivyo wazungumzie kwanza ya kwao na waje kujifunza kwetu
  2. S

    Uchaguzi 2020 Salum Mwalimu: Tumepata taarifa zipo Taasisi za Umma zinagharamia Kampeni za Mgombea wa CCM

    Hizo taasisi unazozisema zinafadhiri kampeni za mgombea wa ccm ni taasisi ya serikali ya chama cha mapinduzi.
  3. S

    Yanayojiri kwenye kampeni za Mgombea Urais wa CHADEMA, Tundu Lissu Mkoani Morogoro, ni operesheni Kata kwa kata

    Mwaka huu chadema inapata tabu sana kupata watu wa kuhudhuria mikutano yake hii inaonyesha wameweka mtu asiyekubalika kugombea urais
  4. S

    Uchaguzi 2020 Special Thread: Taarifa za Kampeni za Wagombea Urais kupitia CCM, Dkt. John Pombe Magufuli na Samia Suluhu

    Baada ya kuona kampen za mwaka huu ni laini,mzee ameamua kula bata kwanza kusogeza muda,akitoka tu upinzani kwisha
  5. S

    Why CCM ni maarufu kwa watu wajinga na waliofeli maisha?

    Utakuwa umechanganyikiwa si bure,angalia vizuri human resource ya ccm ulinganishe na wavuta bangi wa chadema
  6. S

    Fatma Karume: Nitastaafu uwakili, siwezi kuendelea kufanya kazi katika mfumo wa mahakama uliofeli

    Fatuma aache ujanja ujanja,hapo hasitaafu bali amefutiwa leseni,awe tu mkweli kuwa alikiuka professional ethics na hakuna namna anavyoweza kukwepa tofauti na huruma tu na utu
  7. S

    Tumedanganywa tena, Tanzania haimo katika nchi kumi uchumi wake unaokua barani Afrika. Ukuaji wa 7% hautambuliki kimataifa

    Umedanganywa au wewe ndo umechanganya mambo? Waziri wa fedha alisema kwa sababu ya covid 19 ukuaji uchumi utashuka toka 7% hadi 5.5% na raisi amesema jana sasa nani amekudanganya?
  8. S

    Kwanini sukari imekuwa ni kama anasa kwa Tanzania na kwa mwelekeo hapa Serikali imechemka

    Kwa hiyo sukari ni maisha? Unalinganisha na mahindi, mchele na maharage? Ni kiasi gani cha watanzania kinatumia sukari kila siku?
  9. S

    Bajeti ya mwaka huu itashindwa kutekelezwa kwa sababu ya Political risk inayoikumba Tanzania kwa sasa, Prof. Mpango anajua ila kaogopa kuliongehili

    What is the effect of political polarization to Economic development? we have western and Eastern pact if one disturb us we go for the other, we are non Aligned country
  10. S

    Tukio la Lissu hadi Lissu ahojiwe, tukio la Mbowe upelelezi tayari, lini Mbowe kahojiwa?

    Kwani kuhoji unafanyaje? Polisi wanahoji kama waandishi wa habari? Wewe ndo mbowe mpaka useme hawajamhoji?
  11. S

    Anga zimefunguliwa, lakini wenye ndege zao wamegoma kuzileta nchini!

    Wakati ccm wanawaponda chadema kwa namna wanavyoendesha siasa zao,chadema wao wako busy kuiponda nchi badala ya ccm!
  12. S

    UNDP: In the long run, COVID19 will have significant risks to sectors in Tanzania especially tourism

    Hiyo ni paper writings tu,kwenye reality ni tofauti kabisa,hawa UNDP watasubiri sana
  13. S

    Kweli Kabisa CCM tunashangazwa kuanzia kesho!

    Dogo hana jipya,na itakuwa kuna mtu kamdanganya
  14. S

    Vijana wa familia maskini tuungane kupambana na hawa wakoloni weusi wa CCM

    Usiufanye uzembe wa baba yako kuwa tatizo la kitaifa,unapoikataa ccm itachagua chama gani wakati havina watu makini?
  15. S

    Waraka wa Maaskofu KKKT: Tunasikitishwa na matukio ya kupotezwa watu, kubanwa kwa Uhuru wa Mahakama, Bunge na Tume ya Uchaguzi...

    Ngoja tuone tunakoelekea,kila anayekatiwa mirija anageuka kuwa mtetezi wa Demokrasia,baada ya kuona kanisa linaingia kwenye Economic crises,Maaskofu sina ubaya nao maana ni watu kama watu wengine na wanamaslahi kama wengine,Hivyo wakiona kibano kimekaza lazima walalamike kama watu wengine tu...
  16. S

    Mwenyekiti wa Mtandao wa Wanafunzi Abdul Nondo aliyekuwa anakosoa mwanafunzi Akwilina kuuawa na Polisi, hajulikani alipo

    Yawezekana bado anashughuli zake binafsi,alafu tunakimbilia kusema ametekwa nakuliagiza jeshi la polisi,TSNp ni nani wa kuagiza jeshi la polisi au mnaliomba au katiba inasemaje hapo? Tunakimbilia kusema ametekwa nani kamteka?
  17. S

    Je, Mungu kaumba baadhi ya wanadamu kwa upendeleo wa akili na maarifa?

    Hapo hujajibu,matokeo yake unamponda mtoa mada wakati anatafuta solution.Kama ni mitaala,kuna waafrica wengi tu wamesoma huko kwa wazungu,kwa nini wasije na mwarobaini ya yale yanayofundishwa huko? kuna wengine ni waalimu huko kwa wazungu,hivyo kama ni mataala ya elimu yao hakuna siri tena.Rejea...
  18. S

    Maji ni Mtego wa Umasikini (poverty trap)

    Kuna jamaa wengine wanaandaa maandamano ya kutetea siasa badala ya kutetea uchumi
Back
Top Bottom