Search results

  1. Shenkalwa

    Yanayojiri Monduli: Mkutano wa Edward Lowassa - Uwanja wa Barafu Mto wa Mbu

    Naona unaijua na kuifuatilia sana afya ya Lowasa. Kumbuka uzima wa mtu uko mikononi mwa Mungu muumba. Wale wanaoonekana ni wazima wanaondoka na kuwaacha wale wanaoonekana wagonjwa. Mshukuru Mungu wewe unayejiona ni mzima lakini acha kabisa kumhesabia siku mtu ambaye kwa mtazamo wako ni mgonjwa...
  2. Shenkalwa

    ACT - Wazalendo waomba kujiunga na UKAWA

    Hata kwa akili za kawaida tu asingetegemewa asimame na kutangaza kuwa ACT ni tawi la CCM. Vinginevyo tungemuona amechanganyikiwa
  3. Shenkalwa

    ACT - Wazalendo waomba kujiunga na UKAWA

    Sio siri kwamba ACT ni tawi la CCM. ACT kama wameandika barua kutaka kujiunga na UKAWA watakuwa wametumwa na CCM kwenda kuivuruga UKAWA tu na si vinginevyo. Hakuna asiyejua kuwa ACT ni kundi la usaliti likitumiwa na CCM.
  4. Shenkalwa

    Why Gwajima collapsed

    Kwa hiyo wewe ndiye mwenye akili peke yako. Mpumbavu kabisa. Na maneno yako hayo ya kukosa akili yatakurudia wewe mwenyewe
  5. Shenkalwa

    KKKT : Maaskofu hatujagawanyika kuhusu Katiba

    Ingekuwa vyema waislam nao wahamasishwe ili waikatae katiba pendekezwa ya nyoka wa makengeza na mwenzake six kwa kuwa imeandaliwa kulinda mafisadi zaidi
  6. Shenkalwa

    KKKT : Maaskofu hatujagawanyika kuhusu Katiba

    Swali la kipuuzi sana
  7. Shenkalwa

    Pengo awalipua Maaskofu, asisitiza uamuzi wa aina ya kura ni wa mtu binafsi

    Mtawafahamu kwa matendo na maneno yao. Nje ni kondoo lakini kwa ndani ni ma-mbwa mwitu. Alichowafanyia Pendo wenzake ni usaliti na usaliti huu unapaswa kukemewa
  8. Shenkalwa

    Pengo awalipua Maaskofu, asisitiza uamuzi wa aina ya kura ni wa mtu binafsi

    Tamko la Pengo limewavutia sana mapepo wa jf. Naona yote yanatoka mafichoni mchana kweupe. Mshindwe na mlegee
  9. Shenkalwa

    Vurugu Tunduma: Polisi waua mwananchi kwa bomu la machozi

    "Wapigwe tu" kauli ya mheshimiwa waziri mkuu wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Mizengo Kayanza Pinda. Na jana mheshimiwa mwingine anayeitwa Magufuli amewaambia watu wa jimbo lake kule Bukoba kuwa polisi ni miongoni mwa makundi wakereketwa wa ccm.
  10. Shenkalwa

    Tamko la Taasisi ya Masheikh na Wanazuoni wa Kiislam Tanzania

    Ninyi mmewekeza kwenye nini vile?
  11. Shenkalwa

    Tamko la Jukwaa la Wakristo Tanzania kuhusu Katiba inayopendekezwa na Mahakama ya Kadhi

    Na hili ndilo la maana. Waraka usimamiwe kwa nguvu zote. Huyu mwadhama naona amejichanganya. Yeye aruhusu waraka usomwe parokiani halafu huyo huyo ageuke nyuma na kusema aliyosema!! naona hapa pana shida. Kwanza amewasaliti maaskofu wenzake hasa wale wa madhehebu mengine ambao kwa pamoja...
  12. Shenkalwa

    Tundu Lissu atangaza rasmi Zitto Kabwe kuvuliwa uanachama wa CHADEMA

    Na nani kakudanganya kuwa elimu ya dini haina manufaa kwa jamii?? Laana itakutafuna. Usisahau pia kuna elimu mtu anayozaliwa nayo. Ile elimu dunia unaongezea tu. Na hata usome mpaka no class ahead kama huna elimu ya kuzaliwa nayo you are empty.
  13. Shenkalwa

    Swali la Ugomvi: Kikwete Aitwe Asiitwe Tume ya Maadili Kashfa ya Escrow?

    Mzee Mwanakijiji Kama walivyoorodhesha na kuweka wazi wale waliokomba hela kupitia account za Mkombozi Bank, waweke wazi pia list ya watu waliokomba hela kutoka bank ya Stanbic. Kwa nini hii inafichwa? Vinginevyo pamoja na familia ya raisi kutajwa katika migao ya escrow hakuna mwenye ubavu wa...
  14. Shenkalwa

    Nape: CHADEMA wajiandae kuingia msituni

    Kwa hiyo ccm inamiliki silaha?? Maana hawa green guards kila mmoja ana sila begani!!
  15. Shenkalwa

    Mazishi ya Kapteni John Komba

    Huwezi kujua pengine alipata neema ya kutengeneza katika dakika zake za mwisho....
  16. Shenkalwa

    Taifa liadhimishe Komba day

    Sasa naamini kweli taifa hili limelaaniwa
  17. Shenkalwa

    Waziri Samuel Sitta: Watanzania walioko Oman wanataka kupindua Serikali ya Tanzania

    Kitendo chake cha kuwatukana "wapakwa mafuta", maaskofu wakati wa bunge la katiba hakiwezi kumwacha salama
  18. Shenkalwa

    Kada wa CCM amwaga radhi mbele ya katibu mkuu wa UVCCM taifa jana

    huwezi kuona cha ajabu kwa sababu ukiwa kada au mwanachama wa ccm lazima kichwa chako kitapoteza ufahamu.
Back
Top Bottom