Search results

  1. Mbanti

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Sekretarieti wanadai matokeo yatakuwa yanatolewa ndani ya muda mfupi sana
  2. Mbanti

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Hongera sana kwa walokula shavu
  3. Mbanti

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Kuna wa 2015 washa amua kuendelea na mishe zngne
  4. Mbanti

    Dark days 17/03/20...

    Anakuwa sio mpendwa wao tena. Ni mpendwa wa taifa zima
  5. Mbanti

    Dark days 17/03/20...

    Story zimeisha za yanayoendelea nyuma ya pazia?
  6. Mbanti

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Ukisubirigi yanayosemwa utakesha saaaana!. Kwa kuongea na kuaminisha watu viongozi wetu wapo vzr ila njoo kwenye uhalisia. Mm I wish akisema ajira ni 44k na vibali vishatolewa sasa nione tangazo lenye kuhitaji hao watu hapo ingekuwa magoli saaana na nadhan hata huko kulalama kwa sana kwa sisi...
  7. Mbanti

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Yaaan kumbe na ww unakutwa na changamoto ya hivi. Nilidhan labda kuna namna nmekorokocha simu ndo ikaniletea hivi. Kwanza hata pics huwa haziwezi kufunguliwa kwa app had kwenye browser. Sasa naona hata uzi wanasema tumia browser🥲
  8. Mbanti

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Hongereni sana kwa kulamba asali
  9. Mbanti

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    https://www.instagram.com/reel/C3pcWb-tnpH/?igsh=MXNtZGMxcmU4anpnYw==
  10. Mbanti

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    https://www.instagram.com/reel/C3pcWb-tnpH/?igsh=MXNtZGMxcmU4anpnYw==
  11. Mbanti

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    https://www.instagram.com/reel/C3pcWb-tnpH/?igsh=MXNtZGMxcmU4anpnYw==
  12. Mbanti

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Kale ka-feeling ka kuwa umeambiwa ufuate barua yako pale Asha Rose Migiro. Usingizi hauji hasa ukiwaza siku kbao ulizokuwa unasubiria hilo PDF mbaya zaidi uwe ambao ulifanya nao usaili walishaingia kazini miezi hata 8 ndo unatokea kwa PDF means unakuwa huna hili wala lile mara paaaaapu simu...
  13. Mbanti

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Kuna ile kuwa ushawahi kuwa na check namba halaf kazi ukaacha mwenyewe au hata wakakuachisha wenyewe sasa ukataka kurudi tena serikalini (Hata kama sababu za kuacha ni genuine) Mziki wake unaweza tumia hata miaka 3 bado wapo wanashughulikia🥲🥲🥲🥲 Jambo unaloona lnaweza malizwa ndani ya mwezi...
  14. Mbanti

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Vyeti vyako vimegongwa mhuri wa Mwanasheria?
  15. Mbanti

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Wajuba mpo poa?? Niendelee kuwatia moyo mnaoendelea kusikilizia asali. Kikubwa ni kutokukata tamaa licha ya makwazo mengi yanayojitokeza.
  16. Mbanti

    Nina tatizo la low sperm count, msaada

    Kuhtaj mrejesho ni mpaka uwe na shida mkuu?
  17. Mbanti

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    What is your current activity?? Sas jiroge useme upo upo tu hufanyi chochote mtaaani[emoji3][emoji3]hiyo taasisi si itaona inajiletea mzigo mwngne (Mtu asie mbunifu) .
  18. Mbanti

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Si aache maana halazimishwi[emoji3]
Back
Top Bottom