Hello Hope you are fine...I ask for a help....I want to know a place in Dar es salaam or any place in Tz where I can get SAT FINDER (location, type & price ...And which is best stafinder)
Hello hope you are doin well?...some one removed from FTA family whatsapp group...I don't know if ts a intentionaly or a mistake...But that group it realy help me to open my mind on FTA issues and very important class to me...IM NOT SPAM [SPY] SO PLEASE HELP TO ADD ME...Appreciation on...
Mbunge asiwe mtu wa kuiomba serikali msaada kwa suala hilo yeye Mh. Prof Jay ndio yupo kwenye nafasi nzuri kuliko hata JPM coz yeye ndio anawajua kwa ukaribu wananchi wake kushindwa hata mkuu wa wilaya au mkurugenzi aliyechaguliwa kutoka mahali hamna shughuli za ufugaji....Ombi Mh. Mtumishi wa...
Issue sio kupima kwanza ni kupima ile kauli aliyosema Mkuu akiwa kwenye ziara kuwa anajuwa wameshalipwa nusu na bado reflection yake ni kwamba anajua ukweli
Asante sana Mkuu...mwazo signal quality 60 na ilikuwa fresh bila scratch but now imeshuka 55 na ina scratch sana....ngoja nitafute hiyo Inverto thn ni set dish upya...Thnx sana
Habari wana forum mi natumia FREESAT decoder napata Sport 24 HD ambayo inaonyesha ligi kuu lakini kwa sasa signal imeshuka mpaka 55 badala ya 60 kwasasa ina scratch nina dishi la futi 8 kama mwenye skills naomba niweze kuongeza signal ?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.