Search results

  1. R

    Nime download meta trade 4, nawezaje kutumia demo account ili niifahamu Forex?

    Habari Jf members, samahani naomba kupata elimu jinsi ya kutumia demo account kwenye Forex, napenda kujua jinsi ya kununua na kuuza fedha za kigeni na meta trade 4 na demo account nimeisha fungua ila hapo sasa jinsi ya kuitumia ndo bado sijaelewa kwa mambo tawa hapo juu, naomba msaada katika...
  2. R

    Ni chuo gani Tanzanian kinatoa kozi ya bioengineering?

    Ni chuo gani Tanzanian kinatoa kozi ya bioengineering na vipi kuhusu ajira ake.. Naomba mnijuze wadau
  3. R

    Natafuta sponsor wa Diploma in Clinical Medicine

    I need someone to sponsor me for clinical medicine Habari zenu wakubwa, natafuta sponsor wa kunisaidia financially, for school fees katika kipindi hiki cha masomo, kozi itaanza 25/9/2017, nashukuru sana kwa kunielewa.
Back
Top Bottom