Search results

  1. lonelygal

    Mapenzi ni maisha kuwa muangalifu!

    Nilichojifunza ktk safari ya maisha ya mwanadamu,Haijalishi ni wakati gani ktk maisha yako Penzi laweza ibuka mahali na wakati wowote!Na ikatokea kabisa ukampenda Mtu Kwa dhati ya Moyo wako!yaani ukajikuta tu unampenda Mtu kuliko chochote! Hata ujilazimishe vipi inakuwa ngumu sana kumuondoa...
  2. lonelygal

    Ushauri wenu, nimejeruhiwa sana na mapenzi

    Sikuwahi kujua kama mapenzi yanaweza jeruhi kiasi hiki aisee, kiasi cha kuona dunia imesimama. Nilikuwa tu nasikia na kusoma tu kama hadithi. Dah mtu uliyempa Moyo wako kwa dhati kabisa yeye anakuchukulia poa khaaa sijui inawezekanaje jamani. Hata siamini Mungu tu anipe nguvu niweze muondoa...
Back
Top Bottom