Naomba kuuliza wajameni, mtoto wa kike ukiwa na mahusiano na mtu unampenda kwa moyo wako wote, ukamficha baadhi ya mali zako ni sahihi kuwa unampenda au unajidanganya tu na nafsi yako? Mali hizo ni kama vile kuwa na kiwanja then unaficha wakati ye kakuweka wazi vyakwake. Na je kumuweka wazi...
Hyo stori yako haihusu kbs, wangapi wanafanya sex bfr marriage wamedumu? Mwanaume hata ukimpa sex bfr usimpe km hakupendi hakupendi 2. Tena bora umpe ili isije ikawa anakutaman unamnyima anachakachua nje.
Wapendwa kwa bahati mbaya nilipoteza laptop ya ofisini, nahitaji laptop aina ya Samsung 2 GB, used size ya kati sio mjuzi sana kwenye screen size, mwenye nayo naomba anipigie 0656205308.
Vits inauzwa model ya 2001, imetembea km 100,000, ina mwaka toka isajiliwe iko ktk hali nzuri, bei 6.5 mil. Nyekundu. Anayehitaji kuiona anipigie namba 0656205308
wewe tatizo lako mpaka sasa sijalielewa bado hebu liseme? Ungekuwa na akili pia ungenishauri kwa kuni PM lakini mpk sasa sijaona ushauri unaouzungumzia.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.