Search results

  1. B

    Moto g (16gb) [motorola]

    Bei imepungua. Ss hv ni 300k. Hiyo ni 16gb version!
  2. B

    Moto g (16gb) [motorola]

    Basi nimeiweka bei juu sana. Mimi nililetewa tu na mtu kutoka nje. So nimeona niisogeze ili ninunue nyingine. Samahani, naomba unielekeze hapo wanapouza 330,000 maana Kuna watu wengi hv walishaniuliza watapata wapi moto g mpya hapa bongo. Kipindi hicho nilikuwa siiuzi na haikuwepo madukani hapa...
  3. B

    Moto g (16gb) [motorola]

    I CPU:Quad-core 1.2 GHz ,Qualcomm Snapdragon 400 GPU:Adreno 305 RAM: 1GB Internal memory: 16gb DISPLAY: 4.5 inches, 720 x 1280 pixels, (~326 ppi pixel density) Corning gorilla glass 3 REAR CAMERA: 5 MP, 2592 х 1944 pixels, autofocus, LED flash FRONT CAMERA: 1.3 MP Android v4.4(kit...
  4. B

    Free Internet to all JF members with A MAGIC SIM CARD(No payment required)

    shukrani mkuu Njunwa Wamavoko...japokuwa speed siyo kubwa ila inapiga kazi. asante sana
  5. B

    Zorin os 7 yanitoa kijasho.

    linux wana apps nyingi sana mkuu ila shida ni kwamba kuziinstall ni mwendo wa commands tu. Mm mwenyewe prog nilizoinstall ni zile za windows tu, kwa kutumia playonlinux. Mimi pia nafanya mpango huo huo wa dual booting ili nijifunze hii taratibu. Maana mambo mengi mazuri ya windows yanapita...
  6. B

    Zorin os 7 yanitoa kijasho.

    bro, mimi natumia zorin os 7 na mwanzoni nilianza kuhangaika nijue ile dashboard ya modem yangu itatokea vipi. Ila hauhitaji kuiinstall hiyo dashboard coz naona hawa jamaa wa zorin wamesharahisisha vitu vingi tofauti na distros zingine za linux. 1.Chomeka modem yako... 2.Ukiwa kwenye home...
  7. B

    msaada wa vpn kwenye linux

    asante sana mkuu, umenipa idea nzuri. Ntaifanyia kazi! Nashukuru!
  8. B

    msaada wa vpn kwenye linux

    nashukuru mkuu lakini 30 days Money back ina maana ushalipia. Huwa niko a bit reluctant kulipia kitu kwa sababu tu naambiwa naweza kurudishiwa mkwanja. Huwa naona wanaweza kuzingua, japo sipo sure. Ingekuwa unaitest kwanza for free then unalipia kwa kuona inapiga kazi, hapo sawa. Ila nashukuru...
  9. B

    msaada wa vpn kwenye linux

    yaani chief ulivyoniambia kuhusu hii feat vpn, nikaitest kwenye android yangu. Lakini sijaweza kui-configure bado. Alafu hiyo android ndk ni kama emulator flani(kama bluestacks) ambayo inafanya vitu vya android vi-run kwenye linux? Coz nimejaribu kuigoogle naona wanasema ni kwa ajili ya...
  10. B

    msaada wa vpn kwenye linux

    asante, nimeijaribu hiyo ila wanataka ulipie voucher card mwanzoni tu ili wakutumie activation. Sasa unaweza ukalipia na isifanye kile nnachokitafuta, ila asante kwa msaada wako
  11. B

    msaada wa vpn kwenye linux

    asante mkuu, niliona hiyo kuwa inasupport windows tu ila nikajua kuwa ukitumia wine ama playonlinux kuiinstal itakubali, maana hizo ndizo software zinazowezesha vitu vya window kufanya kazi kwenye any linux. Lakini haikukubali
  12. B

    msaada wa vpn kwenye linux

    habari za siku wana JF? Nilijaribu kufunga ubuntu kwenye computer yangu ila nikaja kuitoa kwa sababu ina a bit of complications kwenye kuinstall progs(ina commands nyingi) sasa nikaijaribu hii zorin os ambayo nayo ni jamii ya linux lakini ni rahisi kidogo kuitumia(baadhi ya watu...
  13. B

    Airtel ni baba lao

    500MB kwa 600Tsh.?? Unajiungaji na hiyo mzee?
  14. B

    Fuata steps hizi uirudishe star t.v kwenye startimes

    wakuu big up kwa wote waliotoa hizo frequencies! Na mimi naongeza moja niliyoipata ambayo unapata mpaka radio channels. Ni 490
  15. B

    wajanja night has been ended!!

    oy wajameni, wale wa kubundika kijanja ndio mwisho wetu... Wamefuta bhana ile offer yao. Yaani kushney kabisa. Nimeiangalia ile msg yao mara mbili-mbili ila naona hawajakosea. Wameamua kuifutilia mbali....doh!
  16. B

    nini cha kufanya kama unapata ujumbe "Invalid Redirect URL (http://jamiiforums.com)"

    hata mimi nikiwa nafungua kwenye simu ilikuwa inaonesha hiyo error. Ila ikishaonesha tu hiyo error, nilikuwa na refresh page na moja kwa moja inafunguka. (NB: nina refresh page baada ya kubonyeza na kupata hiyo error) BTW, natumia operamini kwenye simu yangu.
  17. B

    Msaada:ubuntu 12.04 au 12.10

    hiyo link ya mara ya kwanza wanasema kuwa unaweza hata ukai-instal hiyo utakayoidownload kwenye mac, sio windows peke yake. Ila sijawahi kuinstall ubuntu kwenye macbook air ila nahisi utapata msaada zaidi kwenye hii link hapa chini... Pia naona macbook air zinatofautiana so utaangalia version...
  18. B

    Msaada:ubuntu 12.04 au 12.10

    mzee ingia kwenye website yao ya ubuntu na utaikuta. Mbona kui-download ni free tu! Mimi nilidownload ile ver. 11 kutoka kwenye hiyo website yao Download Ubuntu Desktop | Ubuntu
Back
Top Bottom