Search results

  1. A

    NSSF yashinda tena 77

    Majibu wote tunayo hata hamna haja ya kujadili. Ushindi huo ni wa mashaka lakini tuwaachie hao wa hiyo Mifuko
  2. A

    TGIF: Aliyeandika habari hii anahitaji kufungwa!

    Tatizo letu watanzania ni kulalamika, hakuna anayetoa mawazo ya kurekebisha, kuelekeza, maoni ya kujenga. Ni malalamiko kila siku, mara Serikali haijafanya, haikutakiwa kufanya, mara Rais kakosea. Malalmiko mpaka majumbani mwetu. Kwa mtaji huhu hatutaweza kuendelea maana hata hao wanaojiita...
  3. A

    Pinda amvaa Lowassa: "Kuvunja Baraza" yataka moyo!

    Jamani, hiyo posho inawashangaza nini ? Tangu ukoloni ipo cha ajbu hapo nini ?
  4. A

    Ras jah wa ppf atuombe radhi wanahabari

    Sexon2000 ulishaondoka PPF vipi unayavalia njuga mambo ya PPF, au umeshamaliza endowment yako ? Kulikoni ?
  5. A

    Ras jah wa ppf atuombe radhi wanahabari

    Audhubi Ilah Mina Sheitwan Rajim Itabidi niingie tena mtamboni nikachunguze. Sitaki kukurupuka, inshallah nikimaliza uchunguzi wangu nitaletwa jamvini.
  6. A

    Ras jah wa ppf atuombe radhi wanahabari

    Mhhhhhhhhhhhhh, haya makubwa tena
  7. A

    Tatizo la PPF sio ufisadi wala uzinzi bali kugombea madaraka na kuchafuana

    Wapendwa wana JF, Nachukia UFISADI, NACHUKIA WIZI, NACHUKIA UKWARE, NACHUKIA UNYANYASAJI WA WANAWAKE NA WATOTO, lakini acha yote hayo , NACHUKIA WASINGIZIAJI, WAPIKA MAJUNGU, WASHAKUNAKU na wale wanaojifanya kuwa wanapiga vita ufisadi kumbe wao ndio "MAFISADI" Naungana na Ngao One kumsihi...
  8. A

    Mnyika tafadhali soma hii

    Utafiti kwanza Please tusijeonekana wakurupukaji
Back
Top Bottom