Search results

  1. R

    CHADEMA mkoa wa Dar es Salaam, tunaunga mkono msimamo wa Jukwaa la Wahariri Tanzania(TEF)

    Chadema Mkoa wa Dar Es salaam,Tunaunga Mkono Msimamo wa Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF) Kwakutokufanya kazi na Mkuu wa Mkoa wa Dar Es salaam Ndugu Paul Makonda vile vile Tunalipongeza Jukwaa hilo Kwa kumtangaza Mkuu huyo wa Mkoa kama Adui wa Uhuru wa vyombo vya habari Nchini. Vyombo vya...
  2. R

    Hawa watatinga Bungeni baada ya Uchaguzi Mkuu October 2015

    Maisha ya wakazi wa Mwanga na siasa zao kwasasa zimalebadilika sana, huwezi kumtofautisha kileo na mwanga kwasasa. Kwa upande wa ccm wanawakati mgumu sana kutokana na siasa zao za kikanda walizozitengeneza kwasasa wanamakundi ya Usangi na ugweno na kileo ameanza kucheza karata yake vizuri hata...
  3. R

    Uelewa mdogo wa siasa za Henry Kilewo ndani ya CHADEMA na ndoto zake

    Hizi siasa bado zipo? Siasa za kuongelea watu badala ya fact.
  4. R

    BAADA YA KESI YA UGAIDI: Kilewo awapa ujumbe Watanzania

    Swadakta Sinta na akina Joket ndiyo level zake huyo.....
  5. R

    BAADA YA KESI YA UGAIDI: Kilewo awapa ujumbe Watanzania

    Wewe Mbeba mabox hicho ni Kitambi ama umevimbiwa? Kaa mbali na Chadema, CCM wenyewe walikutosa uchaguzi wa ubunge wa Africa mashariki .. bado kiherehere hakijaisha?
  6. R

    CHADEMA yazidi kuungwa mkono Jimbo la Waziri Maghembe

    Chadema sasa haikamatiki tena, siyo vijijini wala mijini sasa ni kazi tu..
  7. R

    CHADEMA yazidi kuungwa mkono Jimbo la Waziri Maghembe

    Jadilini alichokifanya Kilewo ni Sawa ama siyo sawa? Acheni purukushani zenu za kimagamba magamba hapa
  8. R

    Mahojiano kati ya Hoyce Temu na Godbless Lema sehemu ya pili kesho kupitia Channel Ten Saa 7:30 PM

    Lema, Tanzania siyo masikini, ila tunatatizo la fikra nchi yetu ni kati ya nchi bora kwa umasikini.....
  9. R

    CHADEMA: Wampongeza Rais Obama Kwa Ushindi, Na Demokrasia ilivyokuwa huru

    SALAMU ZA PONGEZI ZA CHADEMA KWA USHINDI WA BARACK OBAMA. Novemba 6 wananchi wa Marekani walishiriki uchaguzi mkuu ambao ulikuwa na mchuano mkubwa baina ya vyama vikuu vya Republicans and Democrats. Republicans waliwakilishwa na Mitt Romney na Democrats wakiwakilishwa na Barack Obama ambaye...
  10. R

    Soma hapa: waraka huu kwa Rais na uwajibikaji wa viongozi kwa Taifa letu.

    Hoja ya Kilewo inahitaji majibu ya kina, Ama ningalisema mjadala mpana sana, Wanajf tulikuwa tumekosa vitu kama hivi muda mrefu ambavyo unajua kabisa kuwa hapa mtu alikaa chini akafikiri kisha aakaandika siyo kukurupuka na kutaka kuandika ili ajaze profile yake vitu. Mimi ningalizadhani...
  11. R

    Lema akutana na Meya wa jiji la London nchini Uingereza

    Lema huna mtu wakukufikia kwasasa kwenye aina ya siasa unayofanya hongera sana tupo nyuma yako, mnao taka cv za watu nyie na cv zenu mmelifanyia nini taifa? Zaidi ya kulihujumu taifa na elimu zenu feki? Nenda lema tunaamini unachokifanya kuliko hawa mabwabwa huko wanao bwabwaja, hata leo tumejua...
  12. R

    Sakata la Million 300 Lawaka moto Voda, Kigoma all star wajieleza!

    Katika kile kinachoendelea kwasasa kwenye sakata la mgombea Urais 2015, kampuni ya simu za mikononi ya husika katika maandalizi hayo yenye Lengo la kumsimamisha mgombea Binafsi ama Mgombea huyo akagombee kupitia ADC na ndiyo maana ADC imewekwa Rangi za Chadema maana mgombea huyo atatokea Chadema...
  13. R

    Joyce Kiria kurudi kwa kishindo na Wanawake live ii

    Muhimu sana kimapinduzi zaidi.
  14. R

    Joyce Kiria kurudi kwa kishindo na Wanawake live ii

    Naona kajichanganya na wadau mbali mbali huku akiwa na furaha ya kutosha, hongera sana sister joy usirudi nyuma tupo pamoja na wewe.
  15. R

    Joyce Kiria kurudi kwa kishindo na Wanawake live ii

    Acha wivu wakijinga maana alichokifanya katika vipindi vyake hamna mtangazaji wa Talk show ambaye ameweza kufikia kiwango alichonacho Joyce. Amethubutu ameweza na sasa anasonga mbele, tutamuunga Joyce mkono kwa kila namna.
  16. R

    Joyce Kiria kurudi kwa kishindo na Wanawake live ii

    Ngoja tusubiri tuone huwo ujio wake wa kishindo maana tunahamu naye sana. Vipi anarudi kwenye luninga ile ile ama kabadili? Vipi kuhusu bongo movies maana amekaa kimya na kumeyumba sana, huyu wa cloud kazi yake kuiga tu hana jipya alilo lileta kwenye tasnia hii
  17. R

    Mwendelezo wa kesi ya kupinga ubunge wa Lema - Arusha

    kamanda shukrani sana kwataarifa, maana tulikuwa tumeambiwa ulipelekwa police na lema alikuwa haonekani.
Back
Top Bottom