Search results

  1. More problems

    Hali ya walimu ni mbaya serikali wapeni kipaumbele

    Hela za walimu zinaliwa na watu wengi ktk suala la mtihani ndiyo maana wanapata kidogo. Kwenye mitihani utawakuta usalama, polisi, takukuru wote hawa wanapiga hela zilizopaswa kulipa walimu
  2. More problems

    Hivi hii Biblia kuna manyang'au hawajabadilisha baadhi ya vipengele vya maandiko kwa faida yao kweli?

    Kuchanganya divai na maji sio kwa lengo LA kupunguza ukali. Yesu alipochomwa mkuki ubavuni damu na maji vilitoka. Divai huchanganywa na maji kwa 7b hiyo kuenzi hilo tukio
  3. More problems

    Hivi hii Biblia kuna manyang'au hawajabadilisha baadhi ya vipengele vya maandiko kwa faida yao kweli?

    Kitabu cha Sira sura ya 31 26Tanuri hupima ugumu wa chuma, na pombe hupima mioyo katika shindano la wenye kiburi. 27Pombe ni kama uhai kwa mtu ukinywa kwa kiasi. Maisha yafaa nini bila pombe? Imeumbwa iwafurahishe watu. 28Kunywa pombe wakati wake na kwa kiasi, kwaleta shangwe moyoni na furaha...
  4. More problems

    Kama una mwanamke wako anayeimba kwaya andika maumivu

    Ukimpa nafasi ya kukaa karibu na mwanaume kwa muda wakawa na interest zinazofanana tayari kaliwa labda mwanaume awe hayuko tayari Wanawake wanafall haraka sana kwa wanaume ambao wanakitu cha tofauti mfano talent, pesa nk
  5. More problems

    Kipi kinakupa Sababu ya kuoa?

    Kuoa ni kutoa sadaka maisha. Ndoa ni taasisi ambayo inakupima uvumilivu, kuchukulia poa na uwezo wa kufikiri na kufanya maamuzi. Ni taasisi ambayo mwanaume kama mkurugenzi unajiweka wazi kwa ajili ya kupata stroke, pressure msongo. Wanaume wengi walio kwenye ndoa wana msongo wa mawazo au ni...
  6. More problems

    Wastani ni dk 5.4 kwa wanaume (6x6)

    Nadhani serikali ipige marufuku hii biashara maana itakuja kuleta madhara makubwa katika jamii. Wengi wataugua magonjwa ya moyo na pressure kwa sababu dawa hizo huchochea zaidi mzunguko wa damu
  7. More problems

    Wastani ni dk 5.4 kwa wanaume (6x6)

    Hizi habari za muda wa kumaliza round zinaiharibu jamii na ndipo wale wanaouza dawa wamefanikiwa kuwafanya watu wajione wana matatizo sana hivyo wanaamua kutafuta suluhisho Wanaoathirika zaidi ni vijana wanaosoma haya mabango. Wakilinganisha uwezo wao na ule unaoandikwa
  8. More problems

    Askofu Kakobe: Ukimgusa mmoja umetugusa wote!

    Hajapachimba??? Aliyltuahidi patachimbika
  9. More problems

    Makonda is almost so damn right!

    Tatizo lako na makonda nibkutozingatia mazingira Maneno Yale angeyasema harusini yasingeleta shida
  10. More problems

    Nahitaji Boyfriend toka JF awe na Sifa hizi

    Atafutaye hachoki. Sifa ni nyingi sema ni imagination tu.
  11. More problems

    KINACHONIUMA NI SADAKA ZETU ....

    Ila Dada kamuangusha, yupo tu anakula nguvu za baba, anapiga silent mode hakati uno kama gogo....shwaini
  12. More problems

    Mwanaume kumletea mke wa mtu zawadi baada ya kujifungua imekaaje wadau? Msaada wa Haraka Tafadhali!

    Inaonekana jamaa ni dhaifu namna Fulani. Kama angekuwa jiwe mke asingulemruhusu huyo jamaa kwenda kwake,. Inaonekana pesa kidogo anachelewa kutoa matumizi/mahitaji. Tena ana vitabia vya watoto wa kiume sio mwanaume Shida haijirudii
  13. More problems

    PAROKO KIRUMBA MWANZA KANISIKITISHA.

    Hatupendi ukweli wabongo ndo shida. Kichaa asemwe kama ni kichaa kabla ya kuokolewa wala kufarijiwa. Wewe ulitaka atumie jina gani? Aseme wako na afya ilihali sio kweli?? Unafiki utatufikisha pabaya Shida haijirudii
  14. More problems

    Hata wanaume hulia

    No body knows kesho...you may cry by again Shida haijirudii
  15. More problems

    Jinsi ya kumpata mwanamke bila kumtongoza

    Mapenzi ya dhati ya nn. Ukimtaka mwanamke ukampata tayari suala la kurudishiwa fadhira ya mapenzi ni ujinga mtupu Shida haijirudii
  16. More problems

    Samani za Benki ya Exim nchini kupigwa mnada

    Kama hawawezi kulipa 1 billion wanafanya kazi gani? Vipi ikiwa vilivyopigwa mnada havitakuwa na thamani ya pesa hiyo? Shida haijirudii
Back
Top Bottom