Search results

  1. S

    Misemo inayoandikwa kwenye vyombo vya usafiri, we acha tu!

    Hata ukinawa huli hapa story tu kula kwenu Shose sha luwa Sha ruwa shifoi fukuza upepo nipite nitakukuta Mskini halali mchana Igembe nsabo Shule ya mjinga majungu
  2. S

    Kujamba (kutoa ushuzi) kuna faida kiafya?

    bhana bhana,kuachia ushuzi kunafanya tumbo kurelax nadhani sio dhambi kujamba.........jambeni sana ili ushuzi wenu ukome kunuka!!
  3. S

    Tendo la Ndoa: Faida/umuhimu wa kushiriki tendo hili

    Madhar yapo wanawake huugua hysterior(kuchekacheka hovyo) na wanaume neurosis(kuugua bila kuumwa )
  4. S

    Askofu Mhogolo amshambulia Dr Slaa na CHADEMA; asema anawahadaa Watanzania na Siasa za Utapeli

    Kumbe watu wajua mengi,baada ya kuona taarifa kuhusu Mhashamu askofu Mhogolo nilishtuka:kumbe kuna watu wana macho lakini hawaoni,wana masikio lakini hawasikii,basi wanakuwa ni mbumbu tuuuuu! Baada ya kusoma maoni ya wana jamii forums ndo nikagundua kuwa Mhogolo sio mbumbu bali ni mwerevu sana...
  5. S

    Mwanajeshi amdharirisha mwanamke Kigamboni feri!!!

    Mbali na huyo Mama Mwanajeshi,pia kuna raia wengi wanadhulumiwa,wanadhalilishwa na hata kujeruhiwa na wanajeshi wasiojiheshimu wala kujali utawala bora! Nadhani ni wakati muafaka vyombo vyote vya haki za binadamu kutoa msaada wa kisheria ili kukomesha ufedhuli wa wanajeshi wachache...
Back
Top Bottom