Search results

  1. mwandende

    Wafanyabiashara wafikishwa Mahakamani kwa Kusafirisha Heroin kilo 58.62

    Jacob Marley and Prinslow street,, Tavena Pub maskani ya wabongo ,, brown street and Prinslow kwa msomali . Kote ndy michezo yngu.. Kwa kifupi hii namba chafu mkuu.. Kwa kuwa umetaja mitaa yng RSA basi salute mkuu..
  2. mwandende

    Msaada wa jinsi ya kupata Bank Statement

    Kuna documents ni ngumu kupata kama hutumii agent, Wao ndy wanajuwa udhaifu wa kila embassy. Wao wanajuwa wapi wapite warahisishe safari yako. I
  3. mwandende

    Wafanyabiashara wafikishwa Mahakamani kwa Kusafirisha Heroin kilo 58.62

    Nilichokugunduwa ni kwamba huna unachojuwa kuhusu safari wala south Africa. Nilitaka nijiridhishe kitu na nimeshajuwa nabishana na fala mmoja ambaye hata Nairobi hajawahi fika.. Huenda ikawa upo kwenye kigenge chako cha viazi na nyanya Unatuletea porojo za Safari za nje
  4. mwandende

    Msaada wa jinsi ya kupata Bank Statement

    Mkuu kuna baadhi ya embassy wana masharti magumu sana, Bila kutumia agent utafeli.. Mfano,, -ilnvaitation letter -bank statement -others documents etc.
  5. mwandende

    Wafanyabiashara wafikishwa Mahakamani kwa Kusafirisha Heroin kilo 58.62

    -Uliingia South Africa 1998 ,, ulitumia passport gani kuingia huko? -Je ilikuchukuwa muda gani kupata passport ya south Africa? -Ulipita njia gani kutoka tanzania kuifikia cape town.
  6. mwandende

    Kesi ya Dawa za Kulevya ya aliyekuwa Kocha wa Simba yakosa Vielelezo Mahakamani

    Dunia ya leo tunaendesha kesi kizamani? Hivi inakuwaje mtu anakamatwa na kidhibiti halafu inachukuwa miaka 8 hadi 10 kuhukumu? Wenzetu inchi zilizoendella ndani ya siku 3 ushahukumiwa,, Kukwepa mambo kama haya ya kupanga rushwa.
  7. mwandende

    Wafanyabiashara wafikishwa Mahakamani kwa Kusafirisha Heroin kilo 58.62

    Sasa wewe 2015 ndy unasafiri mwenzio nimesafiri tangu 20000 huko ,, Nikiwa na 22 years. Nataka nikukamate uongo wako kwanza , hizo passport za malawi na south Africa ulisafiria kwenda inchi gani?
  8. mwandende

    Wafanyabiashara wafikishwa Mahakamani kwa Kusafirisha Heroin kilo 58.62

    Dharau ulianza wewe kumtusi mtu usiyemjuwa. Kunambiya mimi sina ninalojuwa zaidi ya story za vijiweni ,hizo sio dharau? Mimi siongei kitu sikijuwi,, Ukiona nachangia hoja yeyote elewa najuwa ninachochangia. kwa taarifa yako mimi ni simba mwenye ngozi ya kondoo. nishakaa sehem chafu,na safi...
  9. mwandende

    Waziri Hamza: Serikali Ijenge Daraja Kuunganisha Dar-Zanzibar

    Hakuna dezo, this time. Mjengewe daraja halafu Tanganyika ndy ilipe deni. Kwa sasa watanganyika tunajitambuwa, Hatufanyi tena makosa ya 26 April 1964. Hakuna kujenga daraja bila kujuwa malipo yatalipwa vp ,, na Tanganyika itapata faida gani ktk ujenziI wa hilo daraja.. Kero za muungano...
  10. mwandende

    Waziri Hamza: Serikali Ijenge Daraja Kuunganisha Dar-Zanzibar

    Daraja lina faida gani kwa tanganyika? Kwann msielekeze hizo pesa kwenye mambo ya msingi ktk kutatuq kero za wanainchi?
  11. mwandende

    Dkt. Nchimbi: Maendeleo aliyoleta Rais Samia kwa miaka 3 Madarakani ni kama miujiza

    Wewe unaona kinachoongelewa kuhusu mnaendeleo ya inchi ndy uhalisia? Hivi kwl tanzania tunasonga mbele au tunarudi nyuma?
  12. mwandende

    Dkt. Nchimbi: Maendeleo aliyoleta Rais Samia kwa miaka 3 Madarakani ni kama miujiza

    Mimi nawataka hawa,, Nawataka hawa uchaguzi mkuu 2025,, Nawataka hawa!!!!tuwanyooshe kwenye uchaguzi. Naona Uchawa umezidi kuliko uhalisia.
  13. mwandende

    Rais Samia haupigi mwingi tena, kuna dalili za kutosha kuwa Uchumi utamuelemea

    Ukiona mbuzi juu ya mti ujuwe kapandishwa.. Wakulaumiwa ni aliyempandisha juu na sio kumlaumu mbuzi.
  14. mwandende

    Rais Samia haupigi mwingi tena, kuna dalili za kutosha kuwa Uchumi utamuelemea

    Kweli aachwe arekebishe inchi,, -ukienda mloganzila hospital kumwona doctor sh 20000 . -bima ya NHIF kwa watoto ilikuwa sh 50400 kwa mwaka wakati wa Magufuli ila kwa sasa ni 340,000/ Kweli aachwe arekebishe inchi.. Inchi inaelekea pazuri
  15. mwandende

    Kinana nyoosha maneno Hayati Magufuli hakupora fedha halali za wananchi wema, bali aliwanyanganya mafisadi pesa za umma walizopora

    Hakuna pesa clean ambayo haina maelezo umeipataje. 99% ya walioporwa pesa walikuwa majangiri na mumiani
  16. mwandende

    Dkt. Nchimbi apinga kauli ya Mwenyekiti wa UVCCM Kagera aliyeahidi "kuwapoteza" wakosoaji wa serikali

    Alichokicanya huyo kijana wa UVCCM ni kuropoka,, Lakini hayo aliyoropoka ndy hali halisi ilivyo kwa sasa. Ni sawa na kumlaumu mtoto mdogo anayelalq chumba kimoja na wazazi wake,,. kuropoka matendo wafanyayo wazazi wake usiku wa manane.. Katibu wa chama ni kama mzazi lazima akemee yale mtoto...
  17. mwandende

    Nani alimtoa bikra mke wako?

    Hizo ni kauli za kujifari mkuu,, Mwanaume hawezi akawa anamla msichana nyuma bila kula mbele kwnza. Jambo kama hilo halipo.
  18. mwandende

    Serikali kutumia Tsh. Bilioni 190.57 kununua V8 mpya za Wakuu wa Mikoa, Wilaya na Ujenzi wa Makazi na Utawala

    Huku bima za afya NHIF zimefutwa,, TRUMP AJENGEWE SANAMU POPOTE. AFRICA A SHIT HOLE
Back
Top Bottom