Search results

  1. E

    Madaktari KCMC wafungiwa kwenye ukumbi wa mkutano na wana usalama

    Hii yote inatokana kwa sabb viongoz tulio waweka madarakani wanaufinyu wa kufikiri, raisi, waziri mkuu, na spika wote wamekubaliana kuwa posho ya wabunge iongezwe, lakini madaktari serikali haina pesa inawezekana kweli?
  2. E

    Matokeo ya Kura za Maoni Igunga: CCM - Dr Kafumo, CHADEMA - Mwl Joseph Kashindye

    "Ni kijana mwenye umri wa miaka 29 tu na kivutio kikubwa cha akina mama" Nimeipenda hata Rais alikuwa kivutio kikubwa kwa wanawake!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
  3. E

    Nape ni mwanzilishi wa CCJ

    Pole mkuu hapo juu hii ndio siasa na imempata mchezaji Taabu ya ccm huwa inamsaka mtu 1 mmoja ambalo ni kosa ktk siasa mwone nape anavyo haha. kumchafua Slaa kashindwa kwan alifikiria slaa atamjbu wanao mjibu wengine,anaenda mbele zaid na kusema cdm imebaka democrasia si kweli ila nape hajui...
  4. E

    Nape ajibu makombora ya Marando

    pole kwa kutumwa utachafua hakuta chafuka ndio kwanza kunag'aa. Ivi had leo kunamtanzania mwenye akili kama kuku ya kuto jua umuhimu wake ktk jamii. Kwa nn uanze kutumikishwa kwa jambo ambalo kwako halina manufaa. Elimika ndugu yangu kwa nn hutaki kuondoka ktk ndimbwi la ukolon had leo. Unajua...
  5. E

    Kitabu cha Wangwe chaanika ukweli tunaotakiwa kuujua

    Amakweli mjinga ni Mjinga hata afundishwe vip atabak kubisha, John alikuwa nan kipindi hicho? Naomba mwandish aelezee vizuri na kwa unagaubaga kuhusu tofauti ya kifo cha Moringe sokoine na chacha wangwe, Kitabu aliandika yeye marehemu kabla hajafa au ameandika mhuni baada ya kufa. pia hicho...
  6. E

    Maswali muhimu kwa JK baada ya kujivua gamba!

    Danganya toto kunamsafi humo,kumbuka alivyo anza zile kesi za EPA zimeishia wapi?
  7. E

    Slaa hili mbona hulisemei?

    huu uchumi sasa umeingiliwa kwa ujinga kama huu tanzania hatuna sababu ya kuongozwa au kusoma ili elimu itukomboe. Elimu kazi kwelikweli!!!!!!!!!!!!!!!
Back
Top Bottom