Search results

  1. PHOTOVOLTANIC

    Mgomo wa madaktari: Huu ni ugaidi

    Hawa madaktari hawana ubinadamu kabisa kwani wanaoadhirika na mgomo wao ni walalahoi na hilo wanalijua.
  2. PHOTOVOLTANIC

    Heslb yatoa siku 21 tu....

    Mliopata mikopo muwe waungwana msipolipa wenzenu watasoma na nini wakati inaeleweka fika kuwa kila mwaka wanaohitaji mikopo wanaongezeka kwa kasi kuliko makuasanyo ya serikali.
  3. PHOTOVOLTANIC

    Maendeleo ya Mgomo wa Madaktari na Mwitikio wa Serikali

    Mimi nakubaliana nawe kabisa. Kuacha watu wapoteze maisha ili posho ziongezwe kwa lazima wakati wanajua fika kuwa wanotibiwa katika hospitali hizi ni watu wa kawaida ni dhambi kabisa.Huko Mbeya hata waja wazito hawakuhurumiwa ubinadamu gani huu?
  4. PHOTOVOLTANIC

    How to use JamiiForums effectively

    Nimesoma...nimeelewa natoa shukrani kwa maelezo haya!
  5. PHOTOVOLTANIC

    Hodi waungwana

    Nimekua mfuatiliaji wa muda mrefu wa mtandao wenu na sasa nimeamua kujiunga rasmi mnipokee!
Back
Top Bottom